Wakati Rais Samia anaingia Ikulu, baada ya muda mfupi vyama vya upinzani Tanganyika pamoja wanahabari wa kujitegemea wamekuwa wakipaza sauti zao juu ya Rais Samia katika uwongozi wake, Moja ya hoja kuu ni kuwa mzanzibar kuitawala Tanganyika na kuuza rasilimali za Tanganyika kwa wawekezaji , huku wananchi wakiteseka kutokuwa na makazi Kama wamasai, bandari kuuzwa kwa Warabu.
Wakaenda mbali zaidi kwa uzanzibari wake , jinsia yake, mtu Kama Tundu Lissu kuwageuka wazanzibari, hakupendezewa mzanzibari kuwa Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, hapo awali tuliwaamini wapinzani kama chadema kutetea haki za watanzania Tanganyika na Zanzibar katika huu muungano.
Miaka yote toka kuasisiwa kwa muungano hajawahi kuwa rais mzanzibari, pia Zanzibar ikipata vikwazo vya mikopo na mgao wa fedha za mikopo na bank kuu, Samia sasa amekuwa akiipa haki kidogo Zanzibar la kifedha kuinua uchumi wa Zanzibar.
Mimi sio ccm ila naamini Samia anafaa kuwa Rais wa Muungano, kwa maslahi ya Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.