TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Warudi bara, na ligi ya tz ibadilike ijumuishe znz.Habari wadau..!
Nyinyi niwajuvi na maguru wa siasa ,je hili swala la Zanzibar kutolewa shirikisho la mpira la CAF na kutoshiriki mashindano yote ya CAF limekaaje kisiasa?
Hawawez wanatolewa round ya kwanza hawafiki popote..hizo ni chokochoko za katiba mpya.
..warudishieni Znz mamlaka yao...
Watasema ni hila na mbinu chafu za BaraHabari wadau..!
Nyinyi niwajuvi na maguru wa siasa ,je hili swala la Zanzibar kutolewa shirikisho la mpira la CAF na kutoshiriki mashindano yote ya CAF limekaaje kisiasa?
Zanzibar kwenye michezo ni kama kombania ya wahindi jeshiniHawawez wanatolewa round ya kwanza hawafiki popote
Hawajakidhi vigezo.. Hili halina uhusiano na TanganyikaHabari wadau..!
Nyinyi niwajuvi na maguru wa siasa ,je hili swala la Zanzibar kutolewa shirikisho la mpira la CAF na kutoshiriki mashindano yote ya CAF limekaaje kisiasa?
Hawawez wanatolewa round ya kwanza hawafiki popote
Huu ni matokeo ya muungano feki,hivyo Zanzibar kutojulikana kimataifaHabari wadau..!