Tetesi: Zanzibar Kwachafuka,..

Nyie chekeleeni tu...haya sio mambo ya kuchekelea wala kuchochea.
Madhara yake ni makubwa na athari zake ni nyingi.
Yatawafuata hadi bara mambo haya.
Na pakitifuka sidhani kama mtakuwa salama saana au na furaha mlizonazo sasa.
Usimshike uchawi jirani yako anayelia kwa uchungu kwenye msiba wa mwanao ukamwaacha mkeo aliyempa chakula mwanao mara ya Mwisho. Wachawi wa hali ya Mambo Zanzibar ni CCM, sisi wengine kazi yetu ni kuisema hiyo hali jinsi ilivyo.
 
CCM ndio chanzo cha yote yanayotokea kule ZANZIBAR ,...
 
Usimshike uchawi jirani yako anayelia kwa uchungu kwenye msiba wa mwanao ukamwaacha mkeo aliyempa chakula mwanao mara ya Mwisho. Wachawi wa hali ya Mambo Zanzibar ni CCM, sisi wengine kazi yetu ni kuisema hiyo hali jinsi ilivyo.
Haya huo uchawi wako na fujo ziendelee tu utaona matokeo yake na tija ya ushabiki wako utaipata.
 
Wazanzibar wadai tu haki yako tena waanze na Shein mwenyewe
 
Huna tofauti na choose cha stendi... Zaidi ya ugali na zinaa akili zako haziwezi waza kingine... Hopeless kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…