Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Hizo taka zilizochafua eneo zitafagiliwa tu wala usiwaze.Maskan za ccm za chomwa moto kisiwa kidogo cha TUMBATU.
Chanzo: Muhusika aliyepo Zanzibar.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo taka zilizochafua eneo zitafagiliwa tu wala usiwaze.Maskan za ccm za chomwa moto kisiwa kidogo cha TUMBATU.
Chanzo: Muhusika aliyepo Zanzibar.
Waendelee kuleta fyokofyoko watakiona
Usimshike uchawi jirani yako anayelia kwa uchungu kwenye msiba wa mwanao ukamwaacha mkeo aliyempa chakula mwanao mara ya Mwisho. Wachawi wa hali ya Mambo Zanzibar ni CCM, sisi wengine kazi yetu ni kuisema hiyo hali jinsi ilivyo.Nyie chekeleeni tu...haya sio mambo ya kuchekelea wala kuchochea.
Madhara yake ni makubwa na athari zake ni nyingi.
Yatawafuata hadi bara mambo haya.
Na pakitifuka sidhani kama mtakuwa salama saana au na furaha mlizonazo sasa.
Nyie chekeleeni tu...haya sio mambo ya kuchekelea wala kuchochea.
Madhara yake ni makubwa na athari zake ni nyingi.
Yatawafuata hadi bara mambo haya.
Na pakitifuka sidhani kama mtakuwa salama saana au na furaha mlizonazo sasa.
Zimezidi za yule aliyesema ametumwa kutangaza majina ya waliochelewa kurejesha fomu?Akili za bavicha
hahahaha wajalibu kuleta fujo sheria ifuate mkondo wakeSio kwa mwarabu.....atakustahiii....akikinukisha utakiona cha mtume
kivipi yani??Yule akipigwa jua naww umeumia
Kwani hamuwezi kuandika sentensi bila ya kuinyongorota? "Hao wahuni"... halafu "mtaisoma namba" mbona inaleta mikingamo hadi sentensi inakosa muwala?Hao wahuni... mtaisoma namba.
CCM ndio chanzo cha yote yanayotokea kule ZANZIBAR ,...
Kikinuka Zanzibar jua na bara kitanuka washajipanga wale...... Ujaskia alshabaab.....acha nisiongee sanakivipi yani??
Haya huo uchawi wako na fujo ziendelee tu utaona matokeo yake na tija ya ushabiki wako utaipata.Usimshike uchawi jirani yako anayelia kwa uchungu kwenye msiba wa mwanao ukamwaacha mkeo aliyempa chakula mwanao mara ya Mwisho. Wachawi wa hali ya Mambo Zanzibar ni CCM, sisi wengine kazi yetu ni kuisema hiyo hali jinsi ilivyo.
Hao watoto wa kiume watarudi tanganyika kwenye masanduku,mark my words.Hao wahuni watanyooshwa tu ngoja watoto wa kiume kesho waanze kuvuka maji waje mtaisoma namba.
Ktk hiyo username yako ungeanza na herufi M kabisa ili kutimiliza Lana uliyonayoMacho yote ya chama na serikali yapo Zanzibar... Leta fyokofyoko upotee.
Mkuu ninachojaribu kuelezea hapa ni kuwa watu wengi wanajazana upepo hapa, lakini uhalisia ni kuwa hakuna vurugu itatokea Zanzibar....
Tujiandae tu kisaikolojia kuendelea kutawaliwa na CCM kwa mara nyingine tena.
Sometimes ukitulia unapunguza michubuko.
Kwa hiyo ndio lengo la UKAWA? Au?Hata Somalia ilianza hivi hivi.