Tetesi: Zanzibar Kwachafuka,..

Tetesi: Zanzibar Kwachafuka,..

Safi sana Wazanzibar kwa kuakikisha nchi yenu amuirudishi kwa waarabu tena. Mapambano yaendelee wazalendo tupo nyuma yenu.
Naona bado Tanzania kuna watu wana chembe za ukabila.
Wa zanzibari wakidai haki zao wanataka kurejesha wa Arabu lakini watanganyika wakidai haki zao hakuna kusema kama wanataka kumrejesha mngereza au mjarumani.
Siasa mbovu za chuki:
Kikwete kawenda kuomba Omani?
Lukuvu hakwenda kuomba Omani?
na wengine tele vipi hawo au wazanzibari tuu ndio kwa wawo ni makosa. be open mind.
It is time for the truth. you cannot full all the people all the time.
 

Attachments

  • to.jpg
    to.jpg
    21.3 KB · Views: 41
  • to1.jpg
    to1.jpg
    16.9 KB · Views: 38
  • to2.jpg
    to2.jpg
    22.4 KB · Views: 39
Kuna watu wanashangilia kinachoendelea Zanzibar. ..ni wapuuzi wa hali juu sana.!
Kinachoendelea Zanzibar ni CCM wanataka kuwadhulumu CUF ushindi wao. Kwa kweli naungana na wewe kuwa wanaochekelea ni wapuuzi wa hali ya juu sana!!
 
Jamani wameanza kuleta fyokofyoko hivi hawa machotara wamesahau kauli ya Mh Magufuli eeenh
 
Naona bado Tanzania kuna watu wana chembe za ukabila.
Wa zanzibari wakidai haki zao wanataka kurejesha wa Arabu lakini watanganyika wakidai haki zao hakuna kusema kama wanataka kumrejesha mngereza au mjarumani.
Siasa mbovu za chuki:
Kikwete kawenda kuomba Omani?
Lukuvu hakwenda kuomba Omani?
na wengine tele vipi hawo au wazanzibari tuu ndio kwa wawo ni makosa. be open mind.
It is time for the truth. you cannot full all the people all the time.
Hawa walikwenda kuomba nini ?
 
Wananchi wakiamua hta hao wajesi awawezi kuzima huo moto aisee hila tunaomba busara itumike jaman kwann tupoteze maisha kwa issue za uchaguz
 
Hata ikimwagika damu nitailaumu serikali ya CHICHIEM na Magufuri
 
Mchezo wenu ndiyo mauti yetu, tutumie mitandao kujenga na si kubomoa. Busara itumike, kwani hakuna Jeshi linaloweza kuleta amani bali kazi ya Jeshi ni vita.
Libya pamoja na kuwepo Jeshi, amani imeshindikana kurejea. Ni haki pekee inayoweza kudumisha amani, mdharau mwiba mguu huota tende. Tusipoziba ufa, tutawajibika kujenga Ukuta.
Nawasihi sana viongozi wetu wasikimbie wajibu wao. Taifa ni kubwa kuliko Vyama - Mungu ibariki Tanzania.
 
Hao Mazombi watakuwa wapemba haswaa. Hata kuchoma moto nyumba ya majani hawawezi. Duh!

38fe056d-1a41-4f62-8302-46d460280209-300x225.jpg
 
hahahaha wajalibu kuleta fujo sheria ifuate mkondo wake
Wale waliofanya fujo na kuleta fyokofyoko tarehe 27.10.2015 Bwawani Zanzibar walivaa kombat za kijeshi kabisa na kumteka makamu mwenyekiti wa ZEC, kwa nini mpaka leo hawajashughulikiwa? Au sheria inafuata mkondo mmoja tu?
 
Back
Top Bottom