Tetesi: Zanzibar Kwachafuka,..

Tetesi: Zanzibar Kwachafuka,..

Vikosi Vya SMZ Viko Wapi Au Ndio Wanasubiri MSAADA Toka BARA?
 
Hiyo movie ni ndefu sana haiishi saa hizi
 
Safi sana Wazanzibar kwa kuakikisha nchi yenu amuirudishi kwa waarabu tena. Mapambano yaendelee wazalendo tupo nyuma yenu.
 
diplomasia inaposhindwa nini kinafuata kama si vita na machafuko?

WACHA GAME IENDELEE
 
Back
Top Bottom