jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi Kuu Zanzibar (@zffzanzibar), Hashim Salum ametangaza kuwa Ligi Kuu ya Zanzibar itasimama kwa muda wa mwezi mmoja kupisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kuanzia ulioanza leo.
Ligi hiyo inatarajia kurejea Mei 6, 2023.
Chanzo: East Africa TV
Kila mtu Zanzibar ni MwislamuHawa jamaa ni wadini sn, mbona Kwaresma haijasimama?
🤣🤣 Mkuu mbon kama povu hiliCongratulation to the Islamic State of Zanzibar.
Ramadhan Kareem.
Nimewapongeza tu Sheikh wangu.🤣🤣 Mkuu mbon kama povu hili
Hiyo wanajua wenyewe siyo ligi. FIFA inaitambua?Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi Kuu Zanzibar (@zffzanzibar), Hashim Salum ametangaza kuwa Ligi Kuu ya Zanzibar itasimama kwa muda wa mwezi mmoja kupisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kuanzia ulioanza leo.
Ligi hiyo inatarajia kurejea Mei 6, 2023.
Chanzo: East Africa TV
Sehemu kubwa sana ya wakazi wa Tanzania Visiwani ni waumini wa dini ya Kiislamu. Kwa hiyo basi Kila ufikapo mwezi huu wa Ramadhan, na kutokana na umuhimu wake katika dini hii ni lazima tu utaathiri shughuli zote za kiuchumi, kijamii na hata pia zile za kiutamaduni ikijumuisha shughuli za michezo.Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi Kuu Zanzibar (@zffzanzibar), Hashim Salum ametangaza kuwa Ligi Kuu ya Zanzibar itasimama kwa muda wa mwezi mmoja kupisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kuanzia ulioanza leo.
Ligi hiyo inatarajia kurejea Mei 6, 2023.
Chanzo: East Africa TV
Huu ni ukweli mtupu.Zanzibar ni kupe tu kwa Tanganyika. Ingekuwa ni nchi, isingekuwa tegemezi kwa Tanganyika kwa miaka mingi.
Wakiambiwa wajitegemee kama nchi kwa 100%, hawataki. Maana wanajua fika watakosa mambo mengi mazuri kutoka Tanganyika.
Wanapisha eating festival, sherehe za kula kupita maelezoSehemu kubwa sana ya wakazi wa Tanzania Visiwani ni waumini wa dini ya Kiislamu. Kwa hiyo basi Kila ufikapo mwezi huu wa Ramadhan, na kutokana na umuhimu wake katika dini hii ni lazima tu utaathiri shughuli zote za kiuchumi, kijamii na hata pia zile za kiutamaduni ikijumuisha shughuli za michezo.
Hili jambo la kawaida kwa kila nchi yenye idadi kubwa ya Waislamu. Na pia hata jamii nyingi hapa nchini zenye idadi kubwa ya waumini wa dini hii jambo hili halijifichi kabisa. Naombeni tuchukuliane kwa jinsi tulivyo na jinsi tunavyojitambua kutoka na imani zetu.
Sidhani kama kuna umuhimu wowote ule wa kujali endapo jamii fulani isiyofungamana na imani yako wakifanya yale wapaswayo kuyafanya kuendana na imani yao. Sidhani kama mtu atapungukiwa na kitu chochote kile endapo ligi ya Zanzibar ikipisha kipindi cha mfungo, wakati wadau ambao ni waaumini wakiadhimisha kwa dhati na uaminifu mkubwa mojawapo ya nguzo kuu ya dini yao.
Mkuu jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Hii ni mojawapo ya nguzo za dini ya Kiisilamu, unathubutuje hata kuweza kuiita kama "karamu ya kunywa na kula, na tena ukachomekea na neno la kupitiliza yaani ulafi"!?Wanapisha eating festival, sherehe za kula kupita maelezo
Siyo kweli Zanzibar mi siyo mgeni kuna wakrtisto wengi sn kutoka bara wapo pale, kwanini na wao wasipewe haki hiyo?
Siyo kweli Zanzibar mi siyo mgeni kuna wakrtisto wengi sn kutoka bara wapo pale, kwanini na wao wasipewe haki hiyo?
Ni eating festival waislamu wanakula na kunywa vizuri kuliko miezi mingineMkuu jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Hii ni mojawapo ya nguzo za dini ya Kiisilamu, unathubutuje hata kuweza kuiita kama "karamu ya kunywa na kula, na tena ukachomekea na neno la kupitiliza yaani ulafi"!?
Ogopa sana Mola wako, na chunga sana kauli zako, hasa pale jambo la kiimani likifanywa na waja wake na wewe kulifanyia kejeli. Wanasema mdomo uliponza kichwa, ila mimi ninasema andiko lako linaweza kuwa sehemu ya hukumu yako kwa yule ayaonaye mambo ya sirini.
Hahahah mke wa papa povu la nini karibu futari kuna kila kitu hapaNi eating festival waislamu wanakula na kunywa vizuri kuliko miezi mingine
Kiufupi ni karamu ya kula na kunywa
Kwani mapumziko hayo yanawahusu nini waislamu wa huko walio wengiMapumziko ya Pasaka na X-mass yapo wewe umezungumzia mapumziko ya Kwaresma.
We upo Zanzibar?Hatupingi isipokuwa tunahoji
Hao jamaa wanachukia kuanzia uislam, waislam, majina ya kiislam, ibada za waislam, mavazi ya waislam, yani hao wanachukia kila kitu as long as konafanywa na waislam au kina husiana na uislam.We upo Zanzibar?