Zanzibar Ligi yasimama kupisha mfungo wa Ramadhan

Kwanini wagalatia munateseka sana na waislamu? Dah Poleni sana
 
ZANZIBAR ASILIMIA 99.99 NI WAISLAMU..KUSIMAMISHWA LIGI NI MAAMUZI YAO ..WAKRISTO WANAOISHI ZANZIBAR WENGI WANATOKEA HUKU TANGANYIKA KWAIYO ACHENI WAAMUE WANAVYOTAKA
 
Hii imeakaaje kibiashara? wadhamini wa ligi yao hawatapata airtime kwa mwezi 1, timu zitawalipa posho na mishahara wachezaji bila kufanya kazi? au ligi yao ni ya ridhaa?
 
Kwani mapumziko hayo yanawahusu nini waislamu wa huko walio wengi
Hilo ni tatizo.
Kwani huku bara hakuna wachezaji waislamu ? Mbona mapumziko hayo hakuna
Wabara nasi hatujakatazwa kupumzika
 
Hawa jamaa ni wadini sn, mbona Kwaresma haijasimama?
Kwaresma ni tofauti na ramadan mkuu, funga ya wakristo sio ya kujitangaza. Funga yako ni siri yako.

Hii kufananisha kwaresm na ramadan ni kutafuta ligi zisizo na msingi wowote..

Na wengi wanaoanzisha hizi vitu ni wakristo wasiofunga.
 
Em nambie mbona epl hamjawaita wadini kwa kuruhusu kusimama kwa mchezo ili kutoa nafasi kwa waliofunga ramadhan kufturu . Wakati hawakutoa nafasi hiyo kwa waliofunga kwaresma
Hawaielewi kwaresma hao, wanabwabwaja tu kuleta ligi
 
Kwahiyo unataka kusema wakristo wako wengi huko Zanzibar kuwiana na waislamu?

Siyo kweli Zanzibar mi siyo mgeni kuna wakrtisto wengi sn kutoka bara wapo pale, kwanini na wao wasipewe haki hiyo?
Wakiristo haki zao wanapewa kule Beijing
Hii imeakaaje kibiashara? wadhamini wa ligi yao hawatapata airtime kwa mwezi 1, timu zitawalipa posho na mishahara wachezaji bila kufanya kazi? au ligi yao ni ya ridhaa?
Ligi nyingi duniani kukitokea jambo zinasimama halafu zina resume, wanakipiga kama kawaida, kwanini una hoji kwa zanzibar, au unaishi dunia ipi wewe?
 
sidhani kama hili ni jambo la kuleta taharuki kiasi hiki, waislam siku ya ijumaa tunakwenda kwenye kazi bila kulalamika kuwa ni siku ya ibada kwetu. jambo la msingi tujifunze kuvumiliana na kujitahidi kutoanzisha mifarakano isiyo la lazima.
 
Wafunge kila kitu hadi kwenda kazini wafunge tujue kweli wanampenda mungu kiliko kazi
 
Una uhakika Allah ndie aliongea hayo?
 
Kwaresma ni tofauti na ramadan mkuu, funga ya wakristo sio ya kujitangaza. Funga yako ni siri yako.

Hii kufananisha kwaresm na ramadan ni kutafuta ligi zisizo na msingi wowote..

Na wengi wanaoanzisha hizi vitu ni wakristo wasiofunga.
Sasa siwapewe haki kama watu wengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…