Zanzibar Ligi yasimama kupisha mfungo wa Ramadhan

Mimi sioni faida ya muungano tungetengana kila mtu akashinda mechi zake
 
Naona msio kua waislam mnaumizwa sana na kila kitu kinachofanywa na waislam hata kama haki waathiri kwa namna yeyote ile. Mfano mdogo tu ni kwamba Ligi imesimamishwa Zanzibar, wamesimamisha Wazanzibar wenyew, wapo huko Kwao Zanzibar na wewe upo kwenu popote ulipo nje ya Zanzibar kusimamisha kwao au kutokusimamisha hakukuathir ww hata kama usingekuepo huko Zanizbar, ila tu kwavile wamefanya kqa ajil ya kutekeleza ibada Ya Uislam basi nyinyi mnaumia sana na mnalalamika.
Poleni sana kwanza.
Lkn pia hili Allah alishalisema ktk Kitabu kitukufu.
Laa tardhwa ankal yahud wa nnasara hatta tattabia millatahum.
Shida mna lazimisha watu wasio wabusu jiwe na wao wajiunge na sherehe zenu za kula kupita kiasi eating festival
 
Kusimamisha ligi sbabu ya mfungo ni very unprofesinal. Nauhakika hata wachezaji wenyewe hawajapenda kwani inawaharibia na wanaonekana mdebwedo.

Waislam kibao wanakipiga ulaya huku wamefunga. Hata huku bara ivoivo. Sio kila kitu kiingizwe maswala ya udini.
 
Shida mna lazimisha watu wasio wabusu jiwe na wao wajiunge na sherehe zenu za kula kupita kiasi eating festival
Mke wa papa unaumia ukiwa wapi tunanguvu ndio mana tunalazimisha jaribu wewe na kwaresma yako kama hujazomewa mpaka na kuku

Nakualika jioni kufuturu njoo na mumeo mr papa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nipo huku zanzibar wazee huku biashara nyingi zimesimama yaan maduka yamefungwa na hata mahoteli na restaurants zimefungwa yaani daah

Huu mwezi wazanzibar wameuchukulia serious sana
Wallahi
 
Hao jamaa wanachukia kuanzia uislam, waislam, majina ya kiislam, ibada za waislam, mavazi ya waislam, yani hao wanachukia kila kitu as long as konafanywa na waislam au kina husiana na uislam.
Wana chuki ya ajabu sana, kwanini wasishikilie dini yao
 
Sionagi kama ni ligi hiyo kituko flani kujifurahisha tu..
 
Saudi Arabia ligi inaendelea ila huku walikoletewa dini wanasimamisha ligi
 
Back
Top Bottom