Toa Upumbavu wakoAibu matokeo ya jana ya uchaguzi wa mapema Zanzibar,askari kibao wamepigia ACT wazalendo,wanachofanya Zec ni kuziharibu kwa kuongeza michoro.
na hapa Tanganyika wazalendo wengi wamekasirika kwa kuonekana wanaothaminiwa ni walinzi wa kigeni kutoka nchi jirani ambao ndio hutoa ulinzi kwa misafara ya viongozi wa CCM.
Kwa sasa majeshi ndiyo yanapelekwa huko mkuu, uchaguzi ushaharibika ila kinachofanyika ni uhuni na kuua watu.Mwenye update ya kinachoendelea kuhusu matokeo ya uraisi Zanzibar alete hapa mrejesho maana nasikia ccm imekaliwa kooni.
Mkuu majeshi yalishafika huko tangu zamani, kungekuwa na chombo kinachoweza kumulika yanayoendelea huko ungeshangaa. Corona haikuiweka Zanzibar kwenye lockdown lakini Uchaguzi umefanikiwa kulockdown sehemu kubwa sana ya kisiwaKwa sasa majeshi ndiyo yanapelekwa huko mkuu, uchaguzi ushaharibika ila kinachofanyika ni uhuni na kuua watu.
Sijui kiongozi anayekuja kwa huko Zanzibar anataka kutawala au kuongoza watu, maana amekaa kimya huku damu zikiwa zinatapakaa chini.