Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Haahahahhah lakioneaYule Mpwa aliyebeti aende akachukue pesa yake nae aitwe "Lakionea"!
Urais imekuwa kz ya kawaida sana..kutokana na walioko madarakani kuidharaulisha kwa jamii.Sijawaelewa Wazanzibar kwa nini wamejitokeza kwa wingi kugombea uraisi nini shida.
Mbona mwaka 2015 bara walijitokeza 46. Hapo wengi hawautaki urais isipokua wanataka teuzi tu kutoka kwa Rais atakaepita lazima ataikumbuka tu timu yake ya wachukua fomu wenzie 32.Sijawaelewa Wazanzibar kwa nini wamejitokeza kwa wingi kugombea uraisi nini shida
Kuna shida kwa kweli ndani ya chama kwa upande wa Zanzibar.Urais imekuwa kz ya kawaida sana..kutokana na walioko madarakani kuidharaulisha kwa jamii.
Yap ndio maana nasema kuna shida teuzi zitawamaliza hawa watu kisa teuzi na madaraka unaangalia mtu hata sifa hana lakin yumo na yeye anyway ndo democrasiaMbona mwaka 2015 bara walijitokeza 46
Hapo wengi hawautaki urais isipokua wanataka teuzi tu kutoka kwa Rais atakaepita lazima ataikumbuka tu timu yake ya wachukua fomu wenzie 32.
Kama JPM waliochukua nae wengi walilamba uteuzi na uwaziri
kwa sababu uraisi ni kazi rahisi sanaSijawaelewa Wazanzibar kwa nini wamejitokeza kwa wingi kugombea uraisi nini shida
Huyu MfipaNafurahi kumwona 'mzanzibara' mwingine akijitosa.
Hii ni sawa na kugombania nafasi ya Ukuu wa Mkoa tu (by Hon Pinda's view). If DAB can do it, so.is anyone!Sijawaelewa Wazanzibar kwa nini wamejitokeza kwa wingi kugombea uraisi nini shida
Sijawaelewa Wazanzibar kwa nini wamejitokeza kwa wingi kugombea uraisi nini shida
Sijawaelewa Wazanzibar kwa nini wamejitokeza kwa wingi kugombea uraisi nini shida
Hakika Pengo anawanyima usingizi wavaa vizibao....na bado mtasumbuka sana 'mpaka mpasuke'Huyu Mfipa
Ndugu yake Pengo..wazazi walipelekwa Zenji zamani na taasisi