Zanzibar 2020 Zanzibar: Maudline Cyrus Castico achukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea urais

Nafurahi kumwona 'mzanzibara' mwingine akijitosa.
Usibabaike na jina,Casticos ni Wazanzibari halisi Kama akina Agostinos..

Mzanzibara alikuwa Ali Hassan Mwinyi na Aboud Jumbe Mwinyi..

Au Udini ndio unakufanya uone kuwa kuwa Casticos ni Mzanzibara,kumbuka kuwa ukristo ulianzia Zanzibar kabla ya kufika Tanganyika
 
Mkitaka kujuwa kama Zanzibar ni Mkoa au kijiji basi CCM wampitishe huyu kwenye 3 bora!
 
Usibabaike na jina,Casticos ni Wazanzibari halisi Kama akina Agostinos..

Mzanzibara alikuwa Ali Hassan Mwinyi na Aboud Jumbe Mwinyi..

Au Udini ndio unakufanya uone kuwa kuwa Casticos ni Mzanzibara,kumbuka kuwa ukristo ulianzia Zanzibar kabla ya kufika Tanganyika
Hivi shule ya msingi kamsamba iko zanzibar? Mimi naifahamu ile ya kamsamba pembezoni mwa ziwa Rukwa.
 
Sijawaelewa Wazanzibar kwa nini wamejitokeza kwa wingi kugombea uraisi nini shida
2015 uraisi wa Jamuhuri ya Muungano ulikuwa.na watu 40 kama ungejiuliza masuala kama hayo back then usingepata tabu kupata jibu sasa.
 
Usibabaike na jina,Casticos ni Wazanzibari halisi Kama akina Agostinos..

Mzanzibara alikuwa Ali Hassan Mwinyi na Aboud Jumbe Mwinyi..

Au Udini ndio unakufanya uone kuwa kuwa Casticos ni Mzanzibara,kumbuka kuwa ukristo ulianzia Zanzibar kabla ya kufika Tanganyika
Mkuu Zanzibar hakuna jina kama hilo.
Istoshe huyo hatokei Tanzania bara huyo ni mzambia.
 
Sijawaelewa Wazanzibar kwa nini wamejitokeza kwa wingi kugombea uraisi nini shida
Zanzibar wameshutukia ukoloni was bara,wamechoka kuletewa watu kutoka bara kuja kuwatawala eti kisa walitoka Zanzibar time will tell
 
Usibabaike na jina,Casticos ni Wazanzibari halisi Kama akina Agostinos..

Mzanzibara alikuwa Ali Hassan Mwinyi na Aboud Jumbe Mwinyi..

Au Udini ndio unakufanya uone kuwa kuwa Casticos ni Mzanzibara,kumbuka kuwa ukristo ulianzia Zanzibar kabla ya kufika Tanganyika
Wewe ndio umesema ukweli. Ukristo ulianzia Zanzibar ndipo ukasambaa bara. Lakini wengi wa wakristo hao walikuwa wale watumwa waliokuwa wakikombolewa na wamishenari, na wote walitokea bara.

Kikatiba wote hawa ni wazanzibari kwa kuwa wamekuwepo Zanzibar tangu enzi hizo za biashara ya utumwa, na hata uhuru na mapinduzi vimewakuta Zanzibar, na wengine walishiriki mapinduzi, kama mnamkumbuka Brig Gen Adam Mwakanjuki.

Na hivyo Maudline Castico ni mzanzibar hata kama asili yake ni Msumbiji.
 
Wewe ndio umesema ukweli. Ukristo ulianzia Zanzibar ndipo ukasambaa bara. Lakini wengi wa wakristo hao walikuwa wale watumwa waliokuwa wakikombolewa na wamishenari, na wote walitokea bara. Kikatiba wote hawa ni wazanzibari kwa kuwa wamekuwepo Zanzibar tangu enzi hizo za biashara ya utumwa, na hata uhuru na mapinduzi vimewakuta Zanzibar, na wengine walishiriki mapinduzi, kama mnamkumbuka Brig Gen Adam Mwakanjuki.
Na hivyo Maudline Castico ni mzanzibar hata kama asili yake ni Msumbiji.
Wamishionary wote,wagunduzi wote walianzia Zanzibar ndio wakaenda Bara Afrika

Zanzibar ilikuwa ndio HUB,ndio mlango wa kuingilia Afrika, kwanza Zanzibar ilikuwa imeendelea sana, kwa wakati huo,

Pili usafiri wa Wakati huo ulikuwa Marikebu, Meli kubwa za mbao,kulikuwa hakuna hakuna ndege..

Kanisa la kwanza Afrika Mashariki na kati lilijengwa Zanzibar, liko Mbweni Zanzibar..
 
Back
Top Bottom