Usibabaike na jina,Casticos ni Wazanzibari halisi Kama akina Agostinos..Nafurahi kumwona 'mzanzibara' mwingine akijitosa.
Ila huyu Kuna miaka ya nyuma aliwahi kunyangwanywa uraia, kipindi cha Mzee mkapaHuyu Mfipa
Ndugu yake Pengo..wazazi walipelekwa Zenji zamani na taasisi
Hivi shule ya msingi kamsamba iko zanzibar? Mimi naifahamu ile ya kamsamba pembezoni mwa ziwa Rukwa.Usibabaike na jina,Casticos ni Wazanzibari halisi Kama akina Agostinos..
Mzanzibara alikuwa Ali Hassan Mwinyi na Aboud Jumbe Mwinyi..
Au Udini ndio unakufanya uone kuwa kuwa Casticos ni Mzanzibara,kumbuka kuwa ukristo ulianzia Zanzibar kabla ya kufika Tanganyika
2015 uraisi wa Jamuhuri ya Muungano ulikuwa.na watu 40 kama ungejiuliza masuala kama hayo back then usingepata tabu kupata jibu sasa.Sijawaelewa Wazanzibar kwa nini wamejitokeza kwa wingi kugombea uraisi nini shida
Bashiru alikurupuka tu, demokrasia inaruhusu, vikao vitaamua Mani atabakiMikwara yote katibu mkuu Bashiru tangu wako 12 sasa 32 wamempuuza na kumtega?
Mkuu Zanzibar hakuna jina kama hilo.Usibabaike na jina,Casticos ni Wazanzibari halisi Kama akina Agostinos..
Mzanzibara alikuwa Ali Hassan Mwinyi na Aboud Jumbe Mwinyi..
Au Udini ndio unakufanya uone kuwa kuwa Casticos ni Mzanzibara,kumbuka kuwa ukristo ulianzia Zanzibar kabla ya kufika Tanganyika
Huyo kizazi chake kimekuja Zanzibar zamani kuliko akina Ali Hassan Mwinyi au Mohamed Shein..Mkuu Zanzibar hakuna jina kama hilo.
Istoshe huyo hatokei Tanzania bara huyo ni mzambia.
Zanzibar wameshutukia ukoloni was bara,wamechoka kuletewa watu kutoka bara kuja kuwatawala eti kisa walitoka Zanzibar time will tellSijawaelewa Wazanzibar kwa nini wamejitokeza kwa wingi kugombea uraisi nini shida
Hakika Pengo anawanyima usingizi wavaa vizibao....na bado mtasumbuka sana 'mpaka mpasuke'
Hapana, huyu ni mmakonde kutoka MsumbijiHuyu Mfipa
Ndugu yake Pengo..wazazi walipelekwa Zenji zamani na taasisi
Wewe ndio umesema ukweli. Ukristo ulianzia Zanzibar ndipo ukasambaa bara. Lakini wengi wa wakristo hao walikuwa wale watumwa waliokuwa wakikombolewa na wamishenari, na wote walitokea bara.Usibabaike na jina,Casticos ni Wazanzibari halisi Kama akina Agostinos..
Mzanzibara alikuwa Ali Hassan Mwinyi na Aboud Jumbe Mwinyi..
Au Udini ndio unakufanya uone kuwa kuwa Casticos ni Mzanzibara,kumbuka kuwa ukristo ulianzia Zanzibar kabla ya kufika Tanganyika
Wamishionary wote,wagunduzi wote walianzia Zanzibar ndio wakaenda Bara AfrikaWewe ndio umesema ukweli. Ukristo ulianzia Zanzibar ndipo ukasambaa bara. Lakini wengi wa wakristo hao walikuwa wale watumwa waliokuwa wakikombolewa na wamishenari, na wote walitokea bara. Kikatiba wote hawa ni wazanzibari kwa kuwa wamekuwepo Zanzibar tangu enzi hizo za biashara ya utumwa, na hata uhuru na mapinduzi vimewakuta Zanzibar, na wengine walishiriki mapinduzi, kama mnamkumbuka Brig Gen Adam Mwakanjuki.
Na hivyo Maudline Castico ni mzanzibar hata kama asili yake ni Msumbiji.