ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Awamu hii ya mama wamevuna sana pesa za watanganyika wacha wajenge, watanganyika viongozi wenzetu wamegeuka kuwa machawa tu yanawaza matumbo yao!.Wazanzibari wameamua kujitegemea Kwa Kila kitu,wamechoma kuambiwa wanafaidi vya Bara.
wangevunja na muungano hta leo ingekua bora sana, hakuna sisi watanganyika tunachofaidika na huu muungano zaidi ya kuletewa wakoloni wakututawala.Wazanzibari wameamua kujitegemea Kwa Kila kitu,wamechoma kuambiwa wanafaidi vya Bara.
Tangu lini wao wanalazimisha Muungano?wangevunja na muungano hta leo ingekua bora sana, hakuna sisi watanganyika tunachofaidika na huu muungano zaidi ya kuletewa wakoloni wakututawala.
Zanzibar inahamia Kwa nani?Hawa wenzetu Ni kama mwanamke anayehamia Kwa jamaa aliyegoma kumuoa, Anakuwa anaacha vitu ghetto, ukija kushtuka Na yeye kajiacha 😂😂
Wamezivunaje? Unajua pesa waazodai Bara?Awamu hii ya mama wamevuna sana pesa za watanganyika wacha wajenge, watanganyika viongozi wenzetu wamegeuka kuwa machawa tu yanawaza matumbo yao!.
kwa maoni yako binafsi viongozi wetu watanganyika wanaung'ang'ania muungano kwa sababu zipi za maana sana? Au ni faida ipi hasa sisi watanganyika tunayoipata kutokana na huu muungano?Tangu lini wao wanalazimisha Muungano?
Fungu la hizo pesa wanatoa wapi ilhali wapo katika "muungano"Wazanzibari wameamua kujitegemea Kwa Kila kitu,wamechoma kuambiwa wanafaidi vya Bara.
zanzibar wakijitegemea tanganyika kutakuwa hakukaliki,uhalamia wa kiarabu utahamia huko,bahari yote itatawaliwa na waarabu na sisi kukosa umiliki,biashara za magendo,usafirishaji wa binadamu utatawala tanganyika na maficho yatakuwa z'bar na tutakuwa hatuna cha kuwafanya. Bora turekebishe kero za muungano kuliko kuvunja.kwa maoni yako binafsi viongozi wetu watanganyika wanaung'ang'ania muungano kwa sababu zipi za maana sana? Au ni faida ipi hasa sisi watanganyika tunayoipata kutokana na huu muungano?
nyie mnaolea huu muungano usiokua na faida kwa mambo ya kufikirika kama hayo. Kwani sisi hatujiamini na mifumo yetu ya usalama?zanzibar wakijitegemea tanganyika kutakuwa hakukaliki,uhalamia wa kiarabu utahamia huko,bahari yote itatawaliwa na waarabu na sisi kukosa umiliki,biashara za magendo,usafirishaji wa binadamu utatawala tanganyika na maficho yatakuwa z'bar na tutakuwa hatuna cha kuwafanya. Bora turekebishe kero za muungano kuliko kuvunja.
Huku sisi tuko busy na kupoteza nyeti, mara michezo simba na yanga, wakati huo huo Zanzibar inatumia Rasilmali kutoka Tanganyika kujiendeleza.My Take
Safi sana ni mwendo wa kusogeza Huduma Kwa Wananchi,wanaozubaa wacha wazubae.
Ni aibu Kwa Nchi kama Zanzibar ambayo ni kitovu Cha Utalii Tanzania kushindwa kuwa na hospital Bora za kuhudumia Watalii na Wananchi.
Aisha wanaweza anzisha Utalii tiba na kuongeza bidhaa ya Utalii wa beach.
========
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo May 6, 2026 imepokea ujumbe maalum kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar uliowasili ili kujifunza namna ya kuanzisha hospitali ya rufaa ya kisasa visiwani Zanzibar.
Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Mkurugenzi MNH, Dkt. Delilah Kimambo ameeleza kuwa Muhimbili ipo tayari kushirikiana na wadau na tasisi mbalimbali nchini kwa lengo la kuimarisha utoaji wa huduma za afya nchini ambapo amefafanua hospitali hiyo imeendelea kuimarisha huduma zake kwa kuwekeza katika wataalam wabobezi, teknolojia ya kisasa pamoja na uboreshaji wa miundombinu ya tiba na uchunguzi. “Muhimbili itaendelea kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika kutoa ushauri, mafunzo na utaalamu ili kuhakikisha azma ya kuanzisha hospitali ya rufaa ya kisasa inafanikiwa na kutoa huduma bora kwa wananchi.
Nia na kusudi ni kuhahakikisha kuwa kila mtanzania anapata huduma za kibobezi kwa ukaribu na bila kutumia gharama kubwa” amesema Dkt. Kimambo. Kwa upande wake, Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum, SMZ Ndg. Mikidadi Mbarouk Mzee ameipongeza MNH jinsi
View attachment 3584852
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifukwa maoni yako binafsi viongozi wetu watanganyika wanaung'ang'ania muungano kwa sababu zipi za maana sana? Au ni faida ipi hasa sisi watanganyika tunayoipata kutokana na huu muungano?
hyo ndo sababu yako kuu ya muungano.Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu
Ndiohyo ndo sababu yako kuu ya muungano.
Zanzibar ndio inajitenga hivyoMy Take