Nimeona taarifa si njema kwa wanasimba wenzangu
Kwa kweli mambo n magumu sana yaan kwa uwanja ule wa znz naona berkane akiondoka na kombe la shirikisho
N mapenzi yangu kujua je na kule znz mbuzi wanaruhusiwa kuingia nao uwanjani
Mwisho nisiseme mengi naomba niheshimu uamuzi wa caf kubadili uwanja wetu
2 niseme tu msitudanganye tena haya mambo ya kuona viongozi wanaenda uwanjani wanatuambia asilimia 92 tayari na huku caf wanasema umejaa viraka zile pesa zinaendaga wapi??