Zanzibar: Mdau aiomba Serikali na Rais Mwinyi kupiga marufuku Bongo Fleva ambazo hazina maadili kuchezwa Zanzibar

Zanzibar: Mdau aiomba Serikali na Rais Mwinyi kupiga marufuku Bongo Fleva ambazo hazina maadili kuchezwa Zanzibar

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
Sheikh ajue kuendesha nchi sio sawa na kuendesha Msikiti.

Kuna mambo ukiwa kama raisi itakulazimu kuyatekeleza au kutotekeleza hata kama yanapingana na maadili ya dini.

Hususan pale unapo set sheria zinazoenda kuwalenga watalii.
 
dunian nchi za wazee wa makubaz hawana mchezo kabsa kwenye maadili binafsi me nawakubali san
 
Wanadai Bongo fleva inapeleka mambo machafu Zanzibar.Moja ya wageni walioudhuria Jukwaa la 13 la Biashara Zanzibar ameshauri Serikali ya Zanzibar kuzuia kupigwa kwa baadhi ya Nyimbo za bongo fleva zinazovunja maadaili ya Watu wa Zanzibar.


View: https://m.youtube.com/watch?v=tYARL6qyS5k


Dunia ina badilika kama Zanzibar wanataka iwe nchi ya watalii huwezi tena kuzuia bongo flava!
 
Pombe na konyagi pia zisiingie visiwani.
Exactly; wanachagua sana vya kufanya hawa. Bongo flavor inapigwa ukumbini, kama hutaki wewe kinakupeleka nini huko? Si ukae nyumbani kwako. Watalii wanapitaga mtaani wamepiga hadi bikin, ustaadhi halioni hilo except vitu rahisi rahisi tu. Bia, Bapa vyote vinapigwa mahotelini kawaida kabisa; these guys are too complicated
 
Ila Zanzbar huwa wanajiona kama ardhi ya watakatifu. Siku wakiweza kujitawala, wabara wenzangu itabidi warudi tu huku
Huwa nashangaa sanaaa, wakati ni wadhambi tu kama sisi
 
Exactly; wanachagua sana vya kufanya hawa. Bongo flavor inapigwa ukumbini, kama hutaki wewe kinakupeleka nini huko? Si ukae nyumbani kwako. Watalii wanapitaga mtaani wamepiga hadi bikin, ustaadhi halioni hilo except vitu rahisi rahisi tu. Bia, Bapa vyote vinapigwa mahotelini kawaida kabisa; these guys are top complicated
Wafrika tuna shida sana
 
Ila Zanzbar huwa wanajiona kama ardhi ya watakatifu. Siku wakiweza kujitawala, wabara wenzangu itabidi warudi tu huku
Unadhani wanaweza kujitawala bila bara? Ukichilia mbali utalii, Zanzibar wana biashara gani nyingine ambayo inaweza kuendesha serikali? Yaani biashara ya ufuska itahalalishwa; bar zitakua nyingi tu, hadi kitimoto kitauzwa. Dubai pakoje? Sasa hvi wanaweza kusema hivo cause hata KODI hawalipi, tunawalea, tunawasomeshea hadi watoto wao. Pekee yao hawana uwezo wa kua na bungee lenye wabunge wengi vile or makamu wa rais 2, hawana hiyo jeuri
 
Back
Top Bottom