Zanzibar: Mdau aiomba Serikali na Rais Mwinyi kupiga marufuku Bongo Fleva ambazo hazina maadili kuchezwa Zanzibar

Zanzibar: Mdau aiomba Serikali na Rais Mwinyi kupiga marufuku Bongo Fleva ambazo hazina maadili kuchezwa Zanzibar

Watu ambao hawajawahi kwenda Zanzibar hawawezi kujua unafiki wa hawa masheikh.

Mitaa ya Zanzibar umejaa wazungu na watalii weusi wamejivalia vichupi na vimini mitaani huko.
Masheikh wanameza madonge ya mate tu wakikatiza. Lakini wakute mtandaoni wanavyojidai kupinga 'maadili mabovu' ya watu wa bara.
 
Katumwa na majini...............maana ukimcheki alivyotoa macho unaweza kusema sungusungu kamuingia kwenye kyupi
 
Utalii halal hauwezekani, wanazuoni wa kiislamu wawe wavumilivu. Ule ulikuwa mkutano wa kibiashara siyo sehemu ya kutoa fatwa. Mahubiri yale yalitakiwa wapewe waumini wakiwa msikitini au katika kongamano / shughuli ya kiimani.
1728856807134.jpeg


Hii ndiyo tabu ya kualika viongozi wa kidini ktk shughuli zisizo za kiimani, masheikh na maaskofu hawachelewi kusahau jukwaa waliloalikwa siyo sehemu ya kuhubiri au kuomba fatwa itolewe. Jukwaa la leo lilikuwa la uchumi sekta binafsi, makontena bandarini, urahisi wa mazingira ya kibiashara, kuchochea ukuzi wa uchumi wa nchi iweze kujitegemea, uwekezaji n.k

View: https://m.youtube.com/watch?v=feR1_ZQpUr0
 
mtu yeyote anaesema hadharan hiki kitu ni kibaya

nchi kama iraq, Afghanistan,iran, Pakistan, qatar n.k ukileta pigo za kiwaki wanakuondosha mapema
Hizi nchi zenyewe za kiwaki tu.
 
Sheikh ajue kuendesha nchi sio sawa na kuendesha Msikiti.

Kuna mambo ukiwa kama raisi itakulazimu kuyatekeleza au kutotekeleza hata kama yanapingana na maadili ya dini.

Hususan pale unapo set sheria zinazoenda kuwalenga watalii.
Bongo fleva kwa sasa imejaa matusi na video zake ni wanawake kuwa uchi, zinaharibu kizazi kijacho
 
A fitting term could be "hypocrite," as it refers to someone who focuses on or publicly condemns visible actions while secretly engaging in worse or contradictory behavior. Another term might be "double-dealer," which suggests deceitfulness, where the individual presents one face to the world but conceals their true actions
 
Lkn Zanzibar huko huko wanakokataa bongoflava ndiko kumejaa mashoga na mateja. Ktk kila nyumba 3 humkosi shoga na Teja.
 
..kwanza bongo fleva wasiruhusiwe Zanzibar.

..ikionekana mambo ya ki*shen*zi hayajaisha Wazanzibari wataangazia maeneo mengine yenye matatizo.
 
Unadhani wanaweza kujitawala bila bara? Ukichilia mbali utalii, Zanzibar wana biashara gani nyingine ambayo inaweza kuendesha serikali? Yaani biashara ya ufuska itahalalishwa; bar zitakua nyingi tu, hadi kitimoto kitauzwa. Dubai pakoje? Sasa hvi wanaweza kusema hivo cause hata KODI hawalipi, tunawalea, tunawasomeshea hadi watoto wao. Pekee yao hawana uwezo wa kua na bungee lenye wabunge wengi vile or makamu wa rais 2, hawana hiyo jeuri
Huo huo utalii utawafikisha mbali na kuuza spices
 
Hivi kiuhalisia zanzibar Ina usafi gani hata bila miziki ya b.fleva?? Au Kwa vile dhambi zao nyingine ambazo ni zito haswaaa hazionekani?? Au wanadhani hatuzijui
Wanadai Bongo fleva inapeleka mambo machafu Zanzibar.

Moja ya wageni walioudhuria Jukwaa la 13 la Biashara Zanzibar ameshauri Serikali ya Zanzibar kuzuia kupigwa kwa baadhi ya Nyimbo za bongo fleva zinazovunja maadaili ya Watu wa Zanzibar.

Soma Pia:
 
Wanadai Bongo fleva inapeleka mambo machafu Zanzibar.

Moja ya wageni walioudhuria Jukwaa la 13 la Biashara Zanzibar ameshauri Serikali ya Zanzibar kuzuia kupigwa kwa baadhi ya Nyimbo za bongo fleva zinazovunja maadaili ya Watu wa Zanzibar.

Soma Pia:
Sasa Zuchu itakuwaje
 
Back
Top Bottom