Wanataka kumharibia kura mzee wa watu.Wanadai Bongo fleva inapeleka mambo machafu Zanzibar.Moja ya wageni walioudhuria Jukwaa la 13 la Biashara Zanzibar ameshauri Serikali ya Zanzibar kuzuia kupigwa kwa baadhi ya Nyimbo za bongo fleva zinazovunja maadaili ya Watu wa Zanzibar.
View: https://m.youtube.com/watch?v=tYARL6qyS5k
Maadili gani mzee? Huwajui tu.dunian nchi za wazee wa makubaz hawana mchezo kabsa kwenye maadili binafsi me nawakubali san
Wanadai Bongo fleva inapeleka mambo machafu Zanzibar.Moja ya wageni walioudhuria Jukwaa la 13 la Biashara Zanzibar ameshauri Serikali ya Zanzibar kuzuia kupigwa kwa baadhi ya Nyimbo za bongo fleva zinazovunja maadaili ya Watu wa Zanzibar.
View: https://m.youtube.com/watch?v=tYARL6qyS5k
HahaZanzibar kwenyewe kuchafu hata kabla ya bongofleva
Piga kitanzi woteHahaha.....vipi Wasafi?
Exactly; wanachagua sana vya kufanya hawa. Bongo flavor inapigwa ukumbini, kama hutaki wewe kinakupeleka nini huko? Si ukae nyumbani kwako. Watalii wanapitaga mtaani wamepiga hadi bikin, ustaadhi halioni hilo except vitu rahisi rahisi tu. Bia, Bapa vyote vinapigwa mahotelini kawaida kabisa; these guys are too complicatedPombe na konyagi pia zisiingie visiwani.
Huwa nashangaa sanaaa, wakati ni wadhambi tu kama sisiIla Zanzbar huwa wanajiona kama ardhi ya watakatifu. Siku wakiweza kujitawala, wabara wenzangu itabidi warudi tu huku
Wafrika tuna shida sanaExactly; wanachagua sana vya kufanya hawa. Bongo flavor inapigwa ukumbini, kama hutaki wewe kinakupeleka nini huko? Si ukae nyumbani kwako. Watalii wanapitaga mtaani wamepiga hadi bikin, ustaadhi halioni hilo except vitu rahisi rahisi tu. Bia, Bapa vyote vinapigwa mahotelini kawaida kabisa; these guys are top complicated
Unadhani wanaweza kujitawala bila bara? Ukichilia mbali utalii, Zanzibar wana biashara gani nyingine ambayo inaweza kuendesha serikali? Yaani biashara ya ufuska itahalalishwa; bar zitakua nyingi tu, hadi kitimoto kitauzwa. Dubai pakoje? Sasa hvi wanaweza kusema hivo cause hata KODI hawalipi, tunawalea, tunawasomeshea hadi watoto wao. Pekee yao hawana uwezo wa kua na bungee lenye wabunge wengi vile or makamu wa rais 2, hawana hiyo jeuriIla Zanzbar huwa wanajiona kama ardhi ya watakatifu. Siku wakiweza kujitawala, wabara wenzangu itabidi warudi tu huku