Zanzibar: Mkaguzi wa Hesabu za Serikali(CAG) akabidhi Ripoti kwa Rais Hussein Mwinyi

Zanzibar: Mkaguzi wa Hesabu za Serikali(CAG) akabidhi Ripoti kwa Rais Hussein Mwinyi

Mkuu si kwa CCM, CCM hata atoke wapi tabia ndio hizo hizo tu
Nyumbu wa Ufipa wapo tayari kuwaweka rehani wazazi wao kukuthibitishia kwamba Mama ni mtu muungwana sana na asiyependa dhuluma kwasababu tu 'atokea huko' hata kama ni CCM! Na watakuja sasa hivi kumtetea!
 
Mwinyi yeye hajaunda kamanti ya kufanya utafiti na kuja na mapendekezo ya kuvaa barakoa?
 
Acheni masikhara, Marehemu Maalim alipotangulia mbele ya haki huyu rais ni kama vile amekata tamaa. Maana for sure CCM Zanzibar haimpi ushirikiano mzuri, yaani jamaa wanaonesha kumaindi walivopigwa bao Dodoma.

Anyways, ripoti maneno matupu hayo, watu washakula hela na si kwamba hawajui kina nani. Unakemea kwa maneno nani atakusikiliza?
Mtu anaiba bilioni, eti unamsimamisha kazi mshahara wa milioni 4, itakuwa umemuadhibu au umemuondolea majukumu yasiokuwa ya lazima kwake? Kama yupo serious na hela za umma, alieiba afikishwe mahakamani. Hizo za Wizara ya Afya ndo zishatajwa, basi hakuna litakalofanywa na mwizi anadunda kama kawaida kwenye Prado. 😀

Afrika tutaendelea kiama kikisimama kwa ujinga huu.
 
Kumbe hata waunguja ni mafisadi!
CCM Zanzibar walichoifanya ni zaidi ya kufuru.... Hela zilizoibiwa huku ni hatari mno. Mwinyi kakabidhiwa serikali akaunti inasoma zero 😀

Awamu iliopita walilitendea haki kifupisho cha CCM kuliko awamu yoyote ile kuwahi kutokea Chukua Chako Mapema.
JPM nilimkubali sana alipomteua Mwinyi maana kama angekubaliana na mapendekezo ya CCM Zanzibar, tungekwisha, tungekwishaaaa!

Watu wamekula hela la House of Wonder mpaka limeporomoka, leo unaskia mtu kapewa nafasi ya ubalozi.

Afrika tumerogwa au tumelaaniwa?
 
Mboni nkaguzi akuizinisha hela tunayoidai SMT ,mambo haya viereje ?
 
Back
Top Bottom