Acheni masikhara, Marehemu Maalim alipotangulia mbele ya haki huyu rais ni kama vile amekata tamaa. Maana for sure CCM Zanzibar haimpi ushirikiano mzuri, yaani jamaa wanaonesha kumaindi walivopigwa bao Dodoma.
Anyways, ripoti maneno matupu hayo, watu washakula hela na si kwamba hawajui kina nani. Unakemea kwa maneno nani atakusikiliza?
Mtu anaiba bilioni, eti unamsimamisha kazi mshahara wa milioni 4, itakuwa umemuadhibu au umemuondolea majukumu yasiokuwa ya lazima kwake? Kama yupo serious na hela za umma, alieiba afikishwe mahakamani. Hizo za Wizara ya Afya ndo zishatajwa, basi hakuna litakalofanywa na mwizi anadunda kama kawaida kwenye Prado. 😀
Afrika tutaendelea kiama kikisimama kwa ujinga huu.