tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Hah mzee umeanza fujo!Sadallah wa BET?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hah mzee umeanza fujo!Sadallah wa BET?
Kama kituo cha polisi ni bubu unategemea kusikia tamko kweli?Mzee Sadalla Juma Sadalla mwenye umri wa miaka 74 mkazi wa Bubu, Zanzibar anakabiliwa na kosa la kumbaka msichana wake wa kazi ambaye yupo chini ya umri wa miaka 18 na kumuingilia kimapenzi kwwa nguvu, msichana huyo ambaye jina linaifadhiwa alifanikiwa kutoa riport kituo cha Polisi Bubu
Uchochozi ndio nini? Jifunze kwanza kuandikaWewe acha upumbavu wako acha uchochozi jikite kwenye mada
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Wanaleta tabia zao za kiarabu 😡!!
Mabeki 3 sisi tunawajua kwa kutegeshea haya mambo wako vizuri sana amempa mzee wa watu mbususu halafu anadai kabakwa ili alipwe fidiaHEKIMA NYEPESI BABU WA 74,ANANGUVU GANI KUMZIDI BINT WA MIAKA 18,
HUYO BINTI ATAKUWA NI MUUZA K HUYO ANATAFUTA URAHISI WA MAISHA NA MTAJI,AMESHA GUNDUA HAPO PANA CHOCHOTE KITU AU PAKO NJEMA.
Alkasus + mundendeHuyo mzee mtuhumiwa kapakaa vumbi la wapi?
Ka ni hvyo huyo binti atakuwa hana akili mana akimfunga sadalla atapataje hizo maliHEKIMA NYEPESI BABU WA 74,ANANGUVU GANI KUMZIDI BINT WA MIAKA 18,
HUYO BINTI ATAKUWA NI MUUZA K HUYO ANATAFUTA URAHISI WA MAISHA NA MTAJI,AMESHA GUNDUA HAPO PANA CHOCHOTE KITU AU PAKO NJEMA.
Znz tena... Huko wanajuwa wenyewe...MSICHANA WA KAZI KABAKWA NA MZEE WA MIAKA 74 AMBAYE NI BOSS WAKE MKAZI WA BUBU ,ZANZIBAR,POLISI WADAIWA KUPOTEZA KESI!
Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi aombwa Kuingilia kati sheria ifuate mkondo
MSICHANA WA KAZI KABAKWA NA MZEE WA MIAKA 74 AMBAYE NI BOSS WAKE MKAZI WA BUBU ,ZANZIBAR,POLISI WADAIWA KUPOTEZA KESI!
Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi aombwa Kuingilia kati sheria ifuate mkondo
Bubu, Zanzibar.
Mzee Sadalla Juma Sadalla mwenye umri wa miaka 74 mkazi wa Bubu, Zanzibar anakabiliwa na kosa la kumbaka msichana wake wa kazi ambaye yupo chini ya umri wa miaka 18 na kumuingilia kimapenzi kwwa nguvu, msichana huyo ambaye jina linaifadhiwa alifanikiwa kutoa riport kituo cha Polisi Bubu.
Lakini hadi leo polisi wanajaribu kuipotezea mbali kesi hiyo na Mtuhumiwa Bw. Sadalla Juma Sadalla amechiwa bila kufikishwa mahakamani.
Juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar za kukomesha unyanyasaji wa kijinsi na ubakaji viisiwani hapa zinagonga mwamba kutokana na wenye tabia za ubakaji kama Bw. Sadalla Juma Sadalla kutopelekwa mahakamani na sheria ikachukua mkondo wake.
Wanaharakati wa kuzuwia vitendo vya ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia visiwani Zanzibar wanakilalamikia kituo cha Polisi Bubu kwa kumwachia huru mbakaji Sadalla Juma Sadalla.
Wamemuomba Mheshiwa Rais Hussein Alli Mwinyi kuingilia kati kesi hii ya ubakaji hili sheria ifuate mkondo wake, wanaharakati hao wamemtaja mtuhumiwa Bwana Sadallla Juma Sadallla kuwa ni mtu aliyetajwa mara nyingi katika matukio ya kuwangilia kwa nguvu au kuwabaka watoto wenye umri mdogo na matukio hayo anayafanya hapa Unguja na Dar es salaam.
Vyombo vya ulinzi na usalama vinaombwa kuhakikisha Bw.Sadalla Juma Sadalla anafikishwa mbele ya sheria na hasipewe nafasi ya kukimbia Zanzibar.
Kule wanakula sana vyakula orijino karafuu siomchezoHivi Kibabu cha 74yrs kinapata wapi nguvu za kumzidi huyo bint hata kama yupo below 18?
Vibinti vyetu hivi vikikosa pa shika viko tayari kuzusha chochote kile pengine ukute walikubaliana vizuri tu,bint akaona ajiongeze ili hatimaye yaje maafikiano binti achote Fwedha.ka ni hvyo huyo binti atakuwa hana akili mana akimfunga sadalla atapataje hizo mali
Mbona Bongo sikuhizi sana tuu, Munapelekana kwa Mparange kama kawa,naskia huko zenji wanamichezo ya kutifuana mpaka tope, afu wanayamaliza nyumbani.
Zanzibar wazee kubaka ni kawaida Sana, tena mbaya zaidi wanabaka mpaka watoto wao. Zanzibar mwanamke aliyeachika akiolewa na Mme mwingine na vibinti vya miaka 12 kuendelea, Baba wa kambo lazima apite navyo, najua wala urojo mtabisha. Lakini ushahidi ni Ile redio yenu na kipindi chake cha mawioMSICHANA WA KAZI KABAKWA NA MZEE WA MIAKA 74 AMBAYE NI BOSS WAKE MKAZI WA BUBU ,ZANZIBAR,POLISI WADAIWA KUPOTEZA KESI!
Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi aombwa Kuingilia kati sheria ifuate mkondo