Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,055
- 3,535
porno ndo zinapelekea haya yote, watu wanaiga sana, kumbe zile ni filam kama zilivyo filam nyingine full uongo. Naskia skuiz watu wanaiga mpaka mapenzi ya kwenye video yale ya filam za kifilipino, sijui kwa wabongo ushamba na ujinga utakuja kuisha lini?Mbona Bongo sikuhizi sana tuu, Munapelekana kwa Mparange kama kawa,
Semeni ukweli
WakatiZenji tunaachana na ujinga huu nyinyi ndo mnashobokea kinoma.
Si ajabu hata wewe mmoja wapo, huna haja ya kuja Zenji nenda Mbagala au kinondoi utapata haja yako
Mzee alikua anampimia TU huku anammezea mate, akashindwa kujizuia!Kazi za ndani
Hili linapaswa kukemewa vikali na jamii, ni unyanyasaji wa kingono.Mzee alikua anampimia TU huku anammezea mate, akashindwa kujizuia!
Bila shaka alichanjwa!
Sasa hapo tusubir ataiambia Nini mahakama ili tupate ukweli wote!Kwani ilikuwaje
Na lizidi kukemewa lisijirudie Tena!Hili linapaswa kukemewa vikali na jamii, ni unyanyasaji wa kingono.
Wapi wamesema kuwa ni Mwarabu?Wanaleta tabia zao za kiarabu 😡!!
Sikuhizi hata dini pia uzalisha mabifuVyombo vya sheria vinahitaji pia kuchunguza hizo taarifa bila kuwa na mihemuko.wakati mwinginw mabifu ya kibiashara au siasa yanaendaga mbali