Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
Wana heshima gani mpaka ishuke?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikua siku zote najiuliza nini sababu za Tanzania kuing'ang'ania Zanzibar na kuonekana kama wanalazimisha muungano na hicho kisiwa, lakini haya matukio ya dhuluma kwa wakristo kipindi cha ramadhani ni dhahiri kile kisiwa kikiachwa chenyewe kitazalisha magaidi wa kiislamu ndani ya muda mfupi sana na kuifanya Zenji iwe zaidi ya Somalia.
Nafuu Somalia ni rahisi kuwatambua, ila Wazanzibari, wale ni Wanyamwezi, Wagogo na makabila mengi ya Tanzania ambao mababu zao walichukuliwa mateka/watumwa na waarabu wakati wanaanzisha dini yao Pwani, maana kwamba wakianzisha ugaidi ndani ya Tanzania itakua vigumu sana kuwatofautisha na Watanganyika wengine.
Hivyo huo muungano bora ulindwe hata kwa ngumi yaani hapa EAC tupo hatarini sana kutokana na magaidi wa uislamu.
Joseph Kony,Uganda na lord resistance army amekuwa anafanya uharamia na ugaidi kwa miaka mingi sana kwa kutaka kusimamisha amri kumi za mungu why hausemi.Nilikua siku zote najiuliza nini sababu za Tanzania kuing'ang'ania Zanzibar na kuonekana kama wanalazimisha muungano na hicho kisiwa, lakini haya matukio ya dhuluma kwa wakristo kipindi cha ramadhani ni dhahiri kile kisiwa kikiachwa chenyewe kitazalisha magaidi wa kiislamu ndani ya muda mfupi sana na kuifanya Zenji iwe zaidi ya Somalia.