Zanzibar: Mwaka 2020 watoto 600 walinyanyaswa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Kesi za udhalilishaji visiwani Zanzibar ni suala linalopigiwa Kelele na viongozi wa kada mbalimbali.

Kwa mwaka jana pekee kesi zaidi ya 600 za udhalilishaji ikiwemo kubakwa na kulawitiwa zimefunguliwa katika vituo vya polisi visiwani zanzibar huku ikiaminika kuna maelfu ya vitendo hivyo vinafanyika na kumalizika nyumban bila kufika polisi.

Waandishi wa BBC Humphery Mgonja na Munira Hussein wamefuatilia kwa kina visa vya udhalilishaji hasa kwa watoto visiwani humo na kuandaa ripoti Maalum.

Your browser is not able to display this video.
 
Wajikuta ni wafiadini halafu kumbe ni mafirauni tena huo uchafu wanaufanya kwa watoto wa kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…