Inaumiza sana,
Mwekezaji wa kuendesha bandari ya Zanzibar kapewa miaka mitano tu ya kuendesha bandari.
Mwekezaji huyo kutoka ufaransa ataendesha bandari kwa miaka mitano tu na mkataba utaangaliwa upya kama kafikia malengo ataongezewa muda na kama hajafikia malengo atapewa mwekezaji mwingine upya,
Tanganyika au Tanzania Bara wameshindwa nini kwenda kujifunza kwenye mikataba ya kitaalamu hata hapo Zanzibar?
Tuwaombe sasa mkajifunze ni namna gani Zanzibar kama nchi wameweza kuingia mikataba mizuri tena ya kueleweka kuliko ninyi ambao inaonekana hamuelewi kitu chochote.
Kajifunzeni nchi ya Zanzibar inafanyaje mikataba yenye tija na mizuri sana.