Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Jul 2, 2023 #21 Mkiacha wizi tu basi ndio.utakuwa mwanzo wa utajiri wetu Mngeweza, hata lami mngeiba ila ndio hivyo tena Watu akili za kuiba mnazo ila za kulinda hamna
Mkiacha wizi tu basi ndio.utakuwa mwanzo wa utajiri wetu Mngeweza, hata lami mngeiba ila ndio hivyo tena Watu akili za kuiba mnazo ila za kulinda hamna
C chotera JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 6,560 Reaction score 15,864 Jul 2, 2023 Thread starter #22 Inasikitisha sana
desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,593 Reaction score 5,848 Jul 2, 2023 #23 Unakatwa wewe
C chotera JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 6,560 Reaction score 15,864 Jul 2, 2023 Thread starter #24 desayi said: Unakatwa wewe Click to expand... Na wewe unakatwa nywele kama nilivokukata juzi
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Sep 15, 2023 #25 Mlioko Ziarani Mkoani Mtwara na Jumanne mtakuwa Ziarani tena Mkoani Lindi kabla hamjapumzika na Uchovu wa Majukumu GENTAMYCINE nitashukuru mkinijibu kwa Niaba ya Watanzania Bara wote.
Mlioko Ziarani Mkoani Mtwara na Jumanne mtakuwa Ziarani tena Mkoani Lindi kabla hamjapumzika na Uchovu wa Majukumu GENTAMYCINE nitashukuru mkinijibu kwa Niaba ya Watanzania Bara wote.