Zanzibar na utalii inapitia wakati mgumu. Tuiombee Trump asiendelee kuchochea vita

Zanzibar na utalii inapitia wakati mgumu. Tuiombee Trump asiendelee kuchochea vita

Sijawahi fika zanzibar ndio nataka kufika, nazipataje hostel hizo maana kwenye mtandao kila nikitafuta sipati
Duh. Siwezi kukusaidia kama umetafuta mtandaoni na ukakosa hostel wakati a single google search utaletewa hoteli zote.
 
Una akili sana.. mademu wa Norway sio wa kuingia kavu kavu na Condom ndio kinga yangu kwa sasa.
Na ukumbuke condom Inapasuka.

Kwa kazi yako ningekuwa mm ningechukua Truvada Na Descoy.
Bure kabisa hospitali za Serikali.
Sasa kazi iliyobaki ni kubadilisha kila siku .

Kumbuka pia Hao wa nnje wanataka nyama kwa nyama maana Na mdomo ni sawa na Punyeto
 
Na ukumbuke condom Inapasuka.

Kwa kazi yako ningekuwa mm ningechukua Truvada Na Descoy.
Bure kabisa hospitali za Serikali.
Sasa kazi iliyobaki ni kubadilisha kila siku .

Kumbuka pia Hao wa nnje wanataka nyama kwa nyama maana Na mdomo ni sawa na Punyeto
Nakuelewa mkuu ila nishazeeka sina pulling ya kupasua Ndom. Pia sihitaji kuchukua point tatu kwa mtalii mi napiga vyangu vya afya nalala. Akitaka show show aende kwa beachboy six pack.
 
Mahoteli ni matupuuu,hata zile budget hostels. Utalii unayoyoma kwa kasi aisee.

Uchumi wa Zanzibar ni utalii naa utalii wa Zanzibar umeshambuliwa na Serikali na global instability especially middle east. Ndege zote za watalii wanokuja Zanzibar chanzo kikubwa ni middle east. Ukijumlisha na tighter investments conditions na large government ongoing projects which needs constant cash flow,combination hizi zote zinabana sana .

Hali ikiendelea hivi, biashara ndogo za utalii zitacollapse. Tour guides,drivers,car rentals,food vendors and beach operators wote wataanza, au washaanza kuteseka na itaendelea kuwatafuna untill the top of food chain.

Chamsingi hapa njia ya fasta ya kunusuru utalii kama Serikali yaa mapinduzi ni kupromote utalii wa ndani pamoja na Kenya,Uganda,Sadc countries.

Punguzeni tozo kwa watalii kutoka Africa.. futeni bima sijui ya ajali kwa wananchi wote wa Africa na tangazeni Zanzibar iwe kama cheap destination kwa watalii wa Africa.

Zanzibari yetu nzuri inatakiwa ilindwe sana. Tuiokoe jamani focus kwa watalii kutoka South Africa,Botswana na Kenya. Warahisisheni kufanya utalii kuanzia kwenye boti mpaka visiwani hakika mtaokoa jahazi.

Nayaongea haya wakati nimelewa konyagi ya kati(500ml) niliyonunua kwa 12,000Tsh supermarket.. msinichukulie serious sana
Mo29 effects
 
duka gani stonetown wanauza konyagi ndogo(200ml) chini ya 6k,ya kati chini ya 12k?
Mimi nimezungumzia zaidi shamba coz ndiyo na uzoefu nako sana.

Shamba zote kubwa Nungwi, Paje na Kiwengwa bei ni za kawaida kwenye mabaa plus clubs, utata ni sehemu za kishua!!!!!!!!!!!
 
Natamani hata wasipate mtalii hata mmoja na trump namuombea aanzishe vita nyingne baada ya iran ndo zanzibar ijue mimi kama rais kupitia chama cha independent siwapendi na ntazidisha maombi kwa sana. Adui muombee njaa atainua mikono. Sio mimi nimesema bali kuna kikao nimetoka wakanipa chupa flani sio chungu nkaipiga yote. So take it easy. Bt chamoto lazma wakione hadi huku bara
 
Huyo amesema alinunua supermarket, but ni bei ya kawaida kwenye mabaa plus clubs.But sehemu za kishua lazima ipande na hii ni mahali popote duniani!!!!!!!
Hukuelewa kwa Nini nimeuliza
Maduka yote ya pombe ya mda mrefu hawana vibali vya kuagiza pombe. Sijui sababu ni nini. Ila kutaka utalii huku unawanyima watu vibali ku import pombe lazima usababishe pombe za ndani ziwe bei juu. Anyway naamini maamuzi yote wanayofanya serikali ya Mapinduzi na ya Busara na yamezingatia maslahi mapana ya Raia wao.
Zanzibar kama mji wa kitalii na hiyo konyagi ni local spirit. Nilitegemea Bei iwe zaidi ya hapo......
 
Zanzibar ni very important,Zanzibar ikipitia kipindi kigumu kaa ukijua Tanzania lazima i cover. Pesa yako ya madini na machungwa yako itatumika kupooza maisha magumu ya visiwani. Na hiyo ni Lazima hata Rais ungekua wewe. Inshort Zanzibar ni sehemu nyeti na Tanzania bara itailinda na kuisaidia kwa hali yoyote. Usije ukaichukulia poa kwa mihemko yako ya kisiasa lakini kwenye sekta ya ulinzi na usalama wa Tanzania Bara Zanzibar ni Muhimu kuliko mkoa wa kilimaanjaro na mlima wake.
haina umuhimu wowote zaidi ya kunyonya mapato ya bara kaa ukijua ni swala la muda Tanganyika inarudi
 
sasa hivi wanapeleka mashindano ya muungano wapate watalii toka bara
 
Mtu wa hovyo anaongea tu na watu wanadandia mada kama wanavodandia mwendokasi

Katika Nchi yyte ile utalii una high na low season kwa Zanzibar saivi ni kipindi cha masika utalii ni low season mpaka mwezi wa 6

Ukiongea kitu leta facts usiongee pumba
 
Mtu wa hovyo anaongea tu na watu wanadandia mada kama wanavodandia mwendokasi

Katika Nchi yyte ile utalii una high na low season kwa Zanzibar saivi ni kipindi cha masika utalii ni low season mpaka mwezi wa 6

Ukiongea kitu leta facts usiongee pumba
Mzee high season ya mwaka jana ilikua kama low season ya miaka mengine. Low season hii imezidi sana. Zanzibar hata ikiwa low season haiwi hivi. Watu wamecancel hotels na trip za ndege za kutosha.
 
Mzee high season ya mwaka jana ilikua kama low season ya miaka mengine. Low season hii imezidi sana. Zanzibar hata ikiwa low season haiwi hivi. Watu wamecancel hotels na trip za ndege za kutosha.
Itakua ww umetokea nyakanazi hlf unajifanya unaijua Zanzibar kuliko ss wenyeji
 
Back
Top Bottom