Zanzibar ndani ya historia

Zanzibar ndani ya historia

Bin Faza

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
502
Reaction score
191
Haya wana JF

hizi video vinaonesha maisha ya zanzibar siku hizo

Last edited by a moderator:
Simu yangu haifungui hizi videos lakini ni matuini yangu zinaonyesha japo kwa nje tu,jengo ambalo sultani alikuwa anakwenda kuangali mabinti vigori wa kizanzibar wakiogerea kwenye swiming pool kisha anajichagulia mmoja wa kwenda kumburudisha.

Actually sultani created his own vigins paradice on earth.
 
sangarara

Simu yangu haifungui hizi videos lakini ni matuini yangu zinaonyesha japo kwa nje tu,jengo ambalo sultani alikuwa anakwenda kuangali mabinti vigori wa kizanzibar wakiogerea kwenye swiming pool kisha anajichagulia mmoja wa kwenda kumburudisha. Actually sultani created his own vigins paradice on earth.

yaani kaka kama si chuki zenu juu ya waarbu basi labda hii chuki isingeubwa kabisa

lakini wewe ukiwa na shida unakwenda kukopa kwa mwalabu, na wala hakuambii uweke ngombe wako kama rahani

punguza kidogo kaka
 
Sina chuki na waarabu hata chembe, nataka kujua tu kama sehemu hiyo ya historia ipo pia, au la kuna taarifa inayoelezea tofauti, basi.
 
Sangarara

Sina chuki na waarabu hata chembe, nataka kujua tu kama sehemu hiyo ya historia ipo pia, au la kuna taarifa inayoelezea tofauti, basi.

sawa as long as umeseme huna chuki na mii nitachukulia hivi hivo kwamba huna chuki

hapo mfalme alikuwa katika ziara yake rasmi kisiwani Pemba
 
Back
Top Bottom