Zanzibar ndo nmeingia alasiri ya leo wapenzi Tuonane. Nimeleta zawadi nzuri toka Bara

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Nmeingia zanzibara alasiri hii naomba sana wadada wa huku tuwasiliane.ili nipate mwenyeji anitembeze maeneo mbalimbali.

Kuna maeneo nayasikia tu ila sasa nataka niyafikie na pia kuona watu wake wakoje. Sehemu inayoitwa MAKUNDUCHI na kwa MCHAMBAWIMA.

Ningependa nionane na wadada wanaotoka maeneo hayo ili wanipe historia ya majina hayo na pia niwaone wanaoishi mchamba wima wanawezaje fanya hivyo.mi huwa naona ni ngumu sana.

Wa makundu uchi nao...siwapatii picha.huwa tu najiuliza why nao wameamua wote kuishi namna hiyo.nashindwa kwenda hili eneo maana sijui kwa mimi mgeni pia ninalazimika kuwa hivyo?yaani kundu uchi.kitu ambacho sitoweza bora niishie mitaa mingine mingine tu.

Wadada naombeni tuwasiliane kwa ajili ya kupatiwa mwenyeji zanzibar.na msijali.nimekuja na kanzu,bargashia na bila kusahau "Bakora" ipo standby kabisa.
 
Mkuu nashauri utembezwe na Mkaka, ili akuembeze mpk vichochoroni!
 
Gujike usitembee umeweka kitambaa mfuko wa nyuma I repeat USIWEKE KITAMBAA MFUKO WA NYUMA. utaolewa mapema tena hata darajani huta fika...

Wakati unaenda Makundu..uchi nipitie hapa fuoni Taveta twende...🙂
 
Dada zetu wa nini? Chukua tour guide umlipe akutembeze...Maisha ya bara yamekushinda umekuja Zbar kudanga eeh!
 
Bububu, saateni, mahonda, mfenesini, upenja, matemwe, kiwengwa,bwejuu, fumba, kibandamaiti,mwela meli 4, mwanakwelekwe, mombasa, fuoni, mkokotoni, mazizini, mbweni, chukwani, buyuni hadi shakani kwa watoto wa kimakonde nifikishie salaam zangu shekhe!
 
Gudume ukirudi naomba uniletee ubuyu wa babu issa
 
Mi najitolea ntakupeleka mchambawima hurumzi sokomuhogo darajani kokoni malindi na kwengine
 
Salamu kwa popobawa. ... mwambie sijamsahau alichonifanyia.... bado nasubiria na mfupa wangu wa kitimoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…