DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Aisee!!!Ukifika Zanzibar huwezi kukutana na Hawa wanawake watembea uchi
Pia hata ukipoteza sm Zanzibar unaletewa
Nilikaa Zanzibar Mika miwili niseme wale Jamaa wana heshima Sana na maadili Bora Sana .
Niseme ntarudi Zanzibar
Ramadhan kareem
Hata afande rama ni mzenji,na anawakilisha vyema upinde.
Usenge ni tabia ya mtu, hapo bongo ndio pamechafuka coz watu wengi tabia tofautiHata afande rama ni mzenji,na anawakilisha vyema upinde.
Rinda lipo lakini?Ukifika Zanzibar huwezi kukutana na Hawa wanawake watembea uchi
Pia hata ukipoteza sm Zanzibar unaletewa
Nilikaa Zanzibar Mika miwili niseme wale Jamaa wana heshima Sana na maadili Bora Sana .
Niseme ntarudi Zanzibar
Ramadhan kareem
Ukifika Zanzibar huwezi kukutana na Hawa wanawake watembea uchi
Pia hata ukipoteza sm Zanzibar unaletewa
Nilikaa Zanzibar Mika miwili niseme wale Jamaa wana heshima Sana na maadili Bora Sana .
Niseme ntarudi Zanzibar
Ramadhan kareem