Zanzibar ndo Sehemu pekee nzuri hapa Tanzania

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Ukifika Zanzibar huwezi kukutana na Hawa wanawake watembea uchi
Pia hata ukipoteza sm Zanzibar unaletewa

Nilikaa Zanzibar Mika miwili niseme wale Jamaa wana heshima Sana na maadili Bora Sana .

Niseme ntarudi Zanzibar
Ramadhan kareem
 
Aisee!!!
 
Rinda lipo lakini?
 
Sio kweli
 
IMG_1458.jpg
 
Zanzibar ya nineteen ziro hio. Sio hii ya sasa mamluki kibaooo

Enzi unazozisema wewe zile ht ukikumbuka hujafunga mlango wa nje hushughuliki unalala bukheri wasusur
 
Back
Top Bottom