Zanzibar ni nchi ya mapinduzi

Baba Ruu

Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
33
Reaction score
9
Watu wanaropoka sana kwamba eti wao wamepoteza utaifa wao wa Tanganyika ila hawakupiga kelele wanahoji kwanini sisi hatutaki kuwa na serikali moja tu ya JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA
JIBU NI
Zanzibar tumepata Uhuru kwa kumwaga damu (mapinduzi) sio wao wamepata Uhuru kwa karatasi
 

Hakuna cha kujivunia Zanzibar kwani mapinduzi yalifanywa na John Okelo, bila huyu mganda Sultani angekuwepo mpaka kesho! Bora mumsifu John kuliko matokeo ya aliyoyafanya John!
 
Kweli angekuepo sultan hadi Leo sawa nashukuru kuwa umetambua kama kulifanyika mapinduzi
 
Mkuu hebu tafuta historia ya kweli ya Zanzibar, sio hii ya CCM. Zanzibar ilipata uhuru wake 1963.
 
Ni kweli ilipata Uhuru mwaka 63 mapinduzi Yale yamekuja tuu kama misri juzi kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…