Hivi watanganyika wenmzangu tatizo lenu nini?
Kwa nini tuendelee kubebeba hii misumari?
Tunafaidika nini na huu muungano ?
Ni wakati umefika tubwage manyanga
JITAMBUE!
Ndio maana kapendekeza muungano uvunjike ili muyachimbe hayo mafuta na Pinda asije huko, laa ikitoea amekuja awe katembelea moja kati ya nchi za kigeni.Mbona unajitia kidole cha pua? Zile kodi munazokusanya kutoka Zanzibar kupitia TRA mukiimarisha uchumi wa Tanganyika mumesahau? Si mulisema zanzibar wasichimbe mafuta na gesi kwa vile ni sehemu ya JMT bila ya idhini yenu? shida yenu ilikuwa ni nini? Pinda alienda lini Zanzibar kukagua miradi ya kiuchumi iliyotoka Tanganyika kuinufaisha Zanzibar?? mbona munajitia mashetani
Chris Mimi nakubaliana na wewe sana ndugu yangu. Lakini huishi unachoamini kabisa. unajua wewe nakuona kama mchungajia anayehubiri watu waache pombe na wakuti yeye ndiye kinara wa kuhakikisha wauza pombe na wanywa pombe wanakaa katika mazingira mazuri sana na chochote wanchokitaka ili pombe yao isiingie hata nzi wanakipata.Hivi watanganyika wenmzangu tatizo lenu nini?
Kwa nini tuendelee kubebeba hii misumari?
Tunafaidika nini na huu muungano ?
Ni wakati umefika tubwage manyanga
JITAMBUE!
Hivi watanganyika wenmzangu tatizo lenu nini?
Kwa nini tuendelee kubebeba hii misumari?
Tunafaidika nini na huu muungano ?
Ni wakati umefika tubwage manyanga
JITAMBUE!
Naunga mkono, wazanzibar waachwe waende salama. Tanganyika ni muhimu kuliko tanzania kwa sasa! Tumechoka kisiwa kuendelea kutawala bara. Wabunge wangu wa tanganyika katika suala hili tuweke vyama pembeni, tanganyika kwanza vyama baadae!
Sasa Excel upigane na nani tena!?
Mbona unakuwa tayari kwenye fikra za umwagaji damu!?
Hivi hata yesu anapenda kweli!??
Na kuna nini cha mlo huko zanzibara mpaka tuwa ng'ang'anie kiasi hicho!?
Njaa zenu na uroho wa madaraka.Zanzibar is rich country wala don't need you people mnajipendekeza you can't do without Zanzibar
Mkuu, huu ni uchochezi wa dhahir unaoelekea kuwa uhaini!!
Kwa sababu huo sio utaratibu wetu. Hatua zetu ni za kimdebwedo lakini za uhakika. jejea sasa lakini itafika wakati mtaamuwa kwa ukubwa na maguvu yenu kuachia!
Hivi hamma wawakilishi bungeni?