Zanzibar ni zigo la misumari, tulibwage!

Zanzibar ni zigo la misumari, tulibwage!

Hivi watanganyika wenmzangu tatizo lenu nini?

Kwa nini tuendelee kubebeba hii misumari?

Tunafaidika nini na huu muungano ?

Ni wakati umefika tubwage manyanga

JITAMBUE!

Njaa zenu na uroho wa madaraka.Zanzibar is rich country wala don't need you people mnajipendekeza you can't do without Zanzibar
 
Mbona unajitia kidole cha pua? Zile kodi munazokusanya kutoka Zanzibar kupitia TRA mukiimarisha uchumi wa Tanganyika mumesahau? Si mulisema zanzibar wasichimbe mafuta na gesi kwa vile ni sehemu ya JMT bila ya idhini yenu? shida yenu ilikuwa ni nini? Pinda alienda lini Zanzibar kukagua miradi ya kiuchumi iliyotoka Tanganyika kuinufaisha Zanzibar?? mbona munajitia mashetani
Ndio maana kapendekeza muungano uvunjike ili muyachimbe hayo mafuta na Pinda asije huko, laa ikitoea amekuja awe katembelea moja kati ya nchi za kigeni.
 
Hivi watanganyika wenmzangu tatizo lenu nini?

Kwa nini tuendelee kubebeba hii misumari?

Tunafaidika nini na huu muungano ?

Ni wakati umefika tubwage manyanga

JITAMBUE!
Chris Mimi nakubaliana na wewe sana ndugu yangu. Lakini huishi unachoamini kabisa. unajua wewe nakuona kama mchungajia anayehubiri watu waache pombe na wakuti yeye ndiye kinara wa kuhakikisha wauza pombe na wanywa pombe wanakaa katika mazingira mazuri sana na chochote wanchokitaka ili pombe yao isiingie hata nzi wanakipata.
Nakuona siku zote wewe ni mwanamapinduzi mzuri mno ila huna maamuzi magumu na huna msimamo kama mwanaume. karibu sana tupiganie nchi yetu Tanganyika Chris. Good morning rafiki
 
Naunga mkono, wazanzibar waachwe waende salama. Tanganyika ni muhimu kuliko tanzania kwa sasa! Tumechoka kisiwa kuendelea kutawala bara. Wabunge wangu wa tanganyika katika suala hili tuweke vyama pembeni, tanganyika kwanza vyama baadae!

Hii nimeipenda.
 
Sasa Excel upigane na nani tena!?
Mbona unakuwa tayari kwenye fikra za umwagaji damu!?

Hivi hata yesu anapenda kweli!??

Na kuna nini cha mlo huko zanzibara mpaka tuwa ng'ang'anie kiasi hicho!?

mkuu unadhani hakuna umuhimu wa kuwa na kisiwa cha zanzibar?

ile ni nchi kama nchi nyingine...
 
Njaa zenu na uroho wa madaraka.Zanzibar is rich country wala don't need you people mnajipendekeza you can't do without Zanzibar

tena wewe mliberal ndo unyamaze tucje kukata nyaya zetu za umeme alf msumbuke tena na makelele ya majenereta
 
Zanzibar waende zao juzi nimesikia wanasema wanataka kubadilisha sheria ili wabara waruhusiwe kumiliki ardhi nhi yenyewe haina ardhi,pia ardhi yote imechukuliwa na viongozi wao,baada ya kuzuia wabara wasimiliki ardhi na wao kujitwalia maelfu ya ekari za ardhi huku bara sasa wana hofu serikali ya Tanganyika ikirudi watanyang'anya ardhi ndio wanakuja na ulaghai wao.
Lazima wajue watanganyika tumechoka na malalamiko yao kama mafuta na gesi si swala la muungano ardhi pia haiwezi kuwa swala la muungano kwani vyote hivyo vinahesabika ni maswala ya ardhi.tuache kila moja aendeshe serikali yake ndio hapo tutajua nani anamnyonya mwenzie na sio kuleta visingizio visivyo na kichwa wala miguu.Na pia wakati wa kujadili juu ya serikali ya Tanganyika wasiruhusiwe kuchangia wala kupiga kura kwani hakuna mtanganyika aliyeenda kushiriki wakati wao wanabadilisha katiba yao
 
Kwa sababu huo sio utaratibu wetu. Hatua zetu ni za kimdebwedo lakini za uhakika. jejea sasa lakini itafika wakati mtaamuwa kwa ukubwa na maguvu yenu kuachia!

Hivi hamma wawakilishi bungeni?
 
Back
Top Bottom