Zanzibar one first ferry vs Azam marine

Zanzibar one first ferry vs Azam marine

unaona sifa ee, wakati watu wanatapikiana ovyo na izo spidi kubwa
Mkuu speed sio chanzo cha kutapika.
Na hizi boti huwa hawatembei mpaka maximum speed kuna operating speed.
Manahodha wao wanajua miiko ya kazi, Mimi nilizungumzia uwezo wa chombo.
 
nguvu ya Soda iyo, muulize Abood alipotaka kum challenge Azam kwa maji

uyo new comer hana mda, atachezea vitasa kama wenzie akina Burak, Sepidei, Sea Gull
Mkuu huyo Turk Group sio wa kubezwa hiyo kaleta na nyingine itawasili, kwenye mizigo ana Sea Star 1 ambayo inapambana na Azam Sealink 1 na 2.
 
unaona sifa ee, wakati watu wanatapikiana ovyo na izo spidi kubwa
Kwa sasa tukiongelea kiufundi kulingana na teknolojia hiyo Zanzibar one hata ikiwa speed kubwa sana na kuna hali mbaya ya hewa abiria wake watakuwa na utulivu (comfortable) hii imefungwa mfumo wa kisasa wa ku maintain stability ambao unaitwa Humphree active interceptor.

Hii system inatumia umeme kupunguza chombo kuyumba na kubalansi kwenye hali mbaya au zile (trim) chombo kucheza mbele nyuma.

Kwa sasa Zanzibar one ndiyo meli pekee yenye mfumo huo.
 
Jamaa bado anaendelea kumsumbua Azam. Safi sana.
 
Back
Top Bottom