Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Mkuu speed sio chanzo cha kutapika.unaona sifa ee, wakati watu wanatapikiana ovyo na izo spidi kubwa
Mkuu huyo Turk Group sio wa kubezwa hiyo kaleta na nyingine itawasili, kwenye mizigo ana Sea Star 1 ambayo inapambana na Azam Sealink 1 na 2.nguvu ya Soda iyo, muulize Abood alipotaka kum challenge Azam kwa maji
uyo new comer hana mda, atachezea vitasa kama wenzie akina Burak, Sepidei, Sea Gull
Kwa sasa tukiongelea kiufundi kulingana na teknolojia hiyo Zanzibar one hata ikiwa speed kubwa sana na kuna hali mbaya ya hewa abiria wake watakuwa na utulivu (comfortable) hii imefungwa mfumo wa kisasa wa ku maintain stability ambao unaitwa Humphree active interceptor.unaona sifa ee, wakati watu wanatapikiana ovyo na izo spidi kubwa
Mkiwekwa ngozi nyeusi mtaiba mpaka boti yenyewe [emoji1][emoji16]Azam aendelee kuweka Waarabu wenzake... Wamejaa dharau sana mbwa wale na niliapa sitakuja kupanda boti zao tena
Sent using Jamii Forums mobile app