Ni habari iliyotangazwa na Radio Wapo Fm this morning,nimesikia kuna mtangazaji muwakilishi kutoka ZNZ alikuwa akiripoti moja kwa moja kutoa huko,amepigwa risasi wakati akishuka kwenye gari kanisani ili aingie kuanza misa ya asubuhi.kuna gari inayosadikika kubeba wauaji hao mara baada ya kumpiga risasi alipoanguka gari hiyo iliondoka haraka eneo la tukio.
Haya ni matokeo ya utawala wa JK na CCM yao,wanachoendelea kututengenezea ni hatari sana,tukio baya sana hili ambalo implication yake iko based kwenye dini.utawasikia wanavyotoa pole za kinafiki,utwasikia wanavyotoa matamko ya kinafiki,utawasikia wanavyotoa kauli za kukemea kinafiki,mtawasikia pia watakavyotoa ahadi za kuwatafuta na kuwakamata wauaji wa Padri mushi lakini ni kinafiki,sana sana watamkamata mwendawazimu wajifanye wauaji wamewakata,kama ilivyokuwa sinema ya Dr Ulimboka.lakini ukweli ni kwamba machafuko yananukia ambayo mtengenezaji wa hali hii ni CCM na viongozi wao.Natamani sasa ZNZ itangazwe kuwa si sehemu salama kwa Wakristo.