Imani Victor
New Member
- Jan 31, 2013
- 2
- 0
Jamani kwa staili hii vita vinanukia,jaman viongoz mtajuta tena mtajibu kwa haya yanayotokea then mnayafumbia macho!
R.I.P Padre
R.I.P Padre
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama ilivyo huku bara TANGANYIKA SI ENEO SALAMA KWA WAISLAM,KILA SIKU MASHUSHUSHU WANATUSUMBUA MISIKITINI,WENGINE WAKRISTO WANAJIFANYA KUJA KUSWALI ILI KUTUSKIZA TUNAZUNGUMZA NIN?
Hakuna uhusiano na ujambazi kweli? Mi nikiona jina la wakina mushi imani yangu hupotea kabisa
Shehe alitoa agizo maaskofu na mapadre wauwawe bado anapeta mitaani, huku polisi wa Mwema wako bize kuwatafuta waliomtukana Makinda.
Mtu akifa basii siku yake imetimmia nini tena chakuoji au kuuliwa ndo sababu eee?
Yeah, myself also i think it is official. But dont worry bro, a hero shall arise in the hour of need.it's official, Tanzania is in BIG MESS. the country has been f&&ed up. Period.
Kwa kuwa umejisikia kusema hivyo ni sawa ni mtizamo wako lakini sina hakika kama unaaandika kwa dhamira sahihi na nafsi yako inasimamia ukweli,matukio ya kuwabagua wakristo huko ZNZ hayajaanza leo,matukio ya kuwabagua watanzania bara kule ZNZ hayajaanza leo,matukio ya kuchoma makanisa hata huku bara hayajaanza leo,mauaji ya wakristo huko ZNZ yenye sura ya udini hayajaanza leo na kama wewe ni mkazi wa ZNZ utakuwa unajua wazi jinsi maisha yanavyobadilika kipindi cha mfungo mtukufo wa Ramadhan huko znz hata asie mkristo ni lazime aishi kama muislam.Yote hayo wakristo wameyavumilia wameendelea kutambua kuwa waislam ni binadamu,waislam ni watanzani,waislam ni ndugu zentu,waislamu ni jirani zetu,marafiki zetu lakini kwa haya yanayoendelea,inasikitisha sana na yanazidi kuleta mashaka makubwa.wewe mkuu kama unaona ni sawa mauji haya,poa endelea kuwaza na kuamini hivyo,kiukweli imenisikitisha sana na ulimwengu utasikitika hasa kwa wapenda amani.lakini kwa hesabu za haraka tayari wameua viongozi wa dini za kikristo kwa muda wa wiki moja.hilo la maafisa usalama kuja misikitini si la wakristo,lakini ni sehemu ya kazi yao hata makanisani huwa wanakuja.kama ilivyo huku bara TANGANYIKA SI ENEO SALAMA KWA WAISLAM,KILA SIKU MASHUSHUSHU WANATUSUMBUA MISIKITINI,WENGINE WAKRISTO WANAJIFANYA KUJA KUSWALI ILI KUTUSKIZA TUNAZUNGUMZA NIN?
Mungu wangu
Amepigwa risasi wakati anaenda kusalisha misa, je? ni majambazi?, majambazi watake nini kwa padri ambae anaenda kanisani hapa pesa hana, Je, ni uhalifu wa kawaida?, uhalifu wa kawaida kwa padri anaeenda kusali ili iwe nini?, Sasa basi nini?, NAJUA UNAJUA NI NINI.
Mungu ampe pumziko la amani,na wahusika watafutwe na kukamatwa na kupelekwa mbele ya sheria