Ni wapi tulikotoka - Nyerere, Amani ilitawala, utanzania uliwekwa mbele kwa maana ya sisi sote tuliitana ndugu.
Wapi tulipo - Kikwete, Amani imetoweka, utanzania umepotea na utambulisho wa dini zetu kutukuzwa. Mfano Anaegombea ubunge ni dini gani? anaeimba jukwaani ni dini gani? mbona huyu amekuja hapa si wa din yetu?
Tunakoelekea - Asipewe uwanja huku huyu, si kwa watu wa dini hii, huyu si dini flani achinjwe - anachinjwa.
Tumefika hapa tulipo kwa sababu ya Mtembezi rais mfia dini wala majukumu yake hayajuwi, Mwinyi hakuwa mfia dini.
Tumefika hapa tulipofika baada ya kuwaacha wachochezi kama Ilunga na mohamedi Said kutawanya Sum kwa hofu ya wanasiasa kupoteza madaraka, wamefanikiwa kutuchonganisha watanzania kwa hoja rahisi na za kipuuzi kabisa sasa kidonda kimepata mkunaji na mkunaji huyu ni mtanzania aliyenyimwa elimu ili atumike kama daraja kwa ccm kuendelea kubaki madarakani
Unakuwaje na Mkuu wa polisi kama Said Mwema ambaye anawaacha watu wanaoelekeza vijana kuchinja watu hadharani? Huyu ni alkaeda aliyevaa ngozi ya utanzania roho yake ni ya msingi wa kidini na malengo kama yale ya Alshababu.
Kikwete na Said mwema Wanamalengo maalumu na mkakati maalum, kwanini Ilunga hajakamatwa?