Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
What a sad day; Mungu atusaidie. Na bado atasimama JK na kutoa hotuba yake ya "jamani udini haufai, haijawahi kutokea katika historia yetu".. Maskini Kikwete..
si mpaka aseme udini haufai! Atawaita majambzi wahuni wenye maslai yao! JK kapandikiza mbegu sa hivi anapalilia
 

Nakubaliana na wewe Kabisa. Hawa jamaa wamefika sehemu ambayo ukivumilia tena utaonekana mpumbavu. Ni muda wa kuchukua hatua sasa. tena hatua kali ambayo italeta heshima.
 
Kanisa na Necta !
Mbona unaongea pumba Ally Kombo ?
Naona kama zimekuruka vile!
Hivi unaona lililotokea ni suala dogo au ndio kichwani kumejaa kinyesi?
Mjinga kweli wewe badala ya kujali uhai wa mtu unaleta ubishi wa dini wakati kifo kinasikitisha!
Umeniboa sana ********!
 
Last edited by a moderator:
Dah ila tumezid upole! Anyway ngoja tuwageuzie na shavu la kushoto!
 
Kikwete ungekua na hekima, unatakiwa ujiuzulu tuu. Na tungekupa heshima yako.

A call for all christians in Tanzania to sit down together and derive a definite solution towards this SAGA.

Kama ishu ni mfumo kristu, kwa nini wasianze na wawakilishi wao??

Mimi nadhani kwa sasa viongozi wa wakristu wote tanzania wachukue hatua ndogo sana ya kususia kufanya kazi na serikali mpaka hapo wote wanaofanya vitendo viovu dhidi ya wakristu na viongozi wao watakaposhtakiwa kwa mujibu wa sheria za nchi.
 
Kwa ushauri wangu Sheikh Mkuu na maaskofu waende Zanzibar na kuhubiri kuhusu kuvumiliana kwa dini na dini. Nayasema haya kwani wakianza kulipizana hapatakalika bara wala visiwani. Hatua zianze sasa, before is too late. RIP padre.
 
Mnajua nini nyie makafiri,amtutishi na lolote.sisi tunacho amini kinanguvu saanaa! Nyie semeni yote lakini laiti ndo nyie makafiri tungekua jengo moja waallai vile ningejilipua mnipe tiketi safi yakwenda kumuona Molla wangu

Mola gani au shetani?
 
Ushauri wangu Sheikh Mkuu na maaskofu waende Zanzibar na kuhubiri kuhusu kuvumiliana kwa dini na dini. Nayasema haya kwani wakianza kulipizana hapatakalika bara wala visiwani. Hatua zianze sasa, before is too late. RIP padre.
 
tukana hadi uchoke ila mwisho wa yote padri kashaded, wanavyouawa masheikh kenya hamsikii mnasikia ya padri tu

Shehe auawe Mkenya, kisasi kirudishwe kwa padri Mtanzania!!!!
Kama waislamu wote mna akili ya namna hii basi poleni sana, nyie mtakuwa jamii duni sana kifikra!!
 
Dini hii janga la taifa,dini inayoshabikia mauji,ila mchezo tumeusoma subirini mvune mazao yenu.
 
We unadhani nani?

Kuna mikanda imekuwa mitaani muda mrefu ikiwahimiza waislamu walipize kisasi kwa kila Sheikh aliyeuawa! Kwa kila Sheikh mapadri watano! Nimeambiwa pia kuna vijitabu/vipeperushi vinavyoekeleza mtiririko wa mawazo ya namna hii. Naamini kama serikali yetu ni makini basi itakuwa inajua yote haya. Lakini kama kawaida tumekuwa waoga kuwakemea watu wa namna hii, yaani Serikali yetu haiwezi kukemea waislamu wenye kufanya vitisho na hata kuvamia watu (mifano ni mingi) na Viongozi wa dini ya Kiislamu hawawezi kuwakemea wafuasi wao wenye tabia kama hizi;yamkini kumekuwepo na imani sasa kwamba yote yanayofanywa na hawa labda niwaite magaidi yanafanywa kwa baraka za serikali, uongozi wa dini ya kiislamu na kwa ajili hio dini ya kiislamu.

Ni ujuha kumtaka mtu aliyeumizwa kwa kuvamiwa kuwa amvumilie mvamizi! Tusipokemea taifa linaangamia.

Pd Evaristi Mushi, juzi juzi tu alikuwa anamwombeleza rafiki yake Mzee wa huko Marekani, leo tutamwombeleza, naam hatuna budi, lakini maombolezo yetu ni ya hasira kwa serikali, serikali lazima ikemee- ikemee tu wala hatujawambia wachukue mapanga!
 
I once said, nchi haina serikali. Inakwenda kama gari lisilo na dereva, na sasa uwezekano wa kuzuka vita vya kidini upo dhahiri. Haya ni matunda ya kazi nzuri iliyofanywa na shehe Illunga ya kupita nchi nzima kutangaza Waislamu wawaue wakristo. Pia ni kazi nzuri ya Mihadhara ya Waislamu kila jioni mitaani kwetu kuhimiza waislamu wawachukie wakristo. Huku serikali ikiyaona matendo haya, iliendelea kuwachekea. Nadhani sasa ndiyo kwanza kazi inaanza. Sidhani kama wakristo wataendelea kuwa wavumilivu. Ameuawa mchungaji Geita na sasa Padri Zanzibar. Kwa hesabu ya haraka, wameshafika watatu sasa akiwemo yule aliyenusurika baada ya kupigwa risasi.
 

Kila kitu kinachotokea kina sababu yake chini ya jua, ndio maana mwanadamu anashauriwa kuomba bila kukoma maana hata yale yanayoonekana kuwa yana majibu fulani katika fikra zetu, Huenda kwa Muumbaji wetu yana ujumbe fulani ambao unataka tukue na kuvuka katika hatua tuliyopo. Yona alipokimbia kwenda Ninawi kulitokea dhoruba ambaye ilitaka kuuwa watu na wao walianza kupunguza shehena katika merikebu laiti wangejua tatizo ni Yona basi wangelimaliza. Tz tuna mengi yanatukabili, je ni siasa, dini, utawala au Mungu ameruhusu upepo uvume ili tujikague
 
Kama polisi wana akili za kipelelezi wewe ungekuwa mtu wa kwanza kuisaidi polisi. Maana hapa umekuja na poroja zenye lengo wa ku-cover up uharamia uliofanywa na Al-Uamsho.

Kama polisi wangekuwa waliwahi kupeleleza na kumkatama muhusika wa hayo mauaji yaliyotangulia labda wangekuwa na cha kutuambia. Hatujui chochote kuhusu nani alitaka kumuua Padri Mkenda kwa maana hiyo acha hisia zetu zitawale kuwa Al-Uamsho wako kazini kutengeneza radical muslim Kingdom of Zanzibar.
 

Adolay, mkuu wa kaya ameona njia pekee iyobaki ni kuwaacha waislamu wafanye jihad mana ndio heshima anayoona itamlinda milele, waislamu watamkumbuka na kumsifu daima. aibu kuu iwe juu yake, hana busara yoyote, rias bure kabisa. Anataka kulinda heshima yake ndani ya jumuia ya kiislam!!?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…