Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
R.I.P padri umetangulia mbele ya haki nasi tutafuata.
 
Tusihukumu dini fulani kuwa imehusika katika hili ni vema tukasubiri vyombo vya usalama vitutafutie ukweli. Nahisi something is behind this and i think is not religious issue may be there is another business. Nawasilisha

kuanzia lini jeshi la polisi likakamilisha uchunguzi hata wa kamanda baro bado haujakamilika
 
Hapa aliyeanzisha udini ni mwinyi na kikwete akaendeleza cha msingi kila mtu asimame kidete kuitetea imani yake vita hii itarudi YESU atakaporudi kulinyakua kanisa na kumaliza vita ya Israel na palestina
 
Ni kweli Njilembera serikali ndio chanzo cha yote na najua ni kwa sababu hao wanaotenda hayo ni wa upande wa dini ya viongozi.
Yan kwa hasira hizi nadhani wanaweza kusababishia nchi hali ya hatari seriously....kila siku kumekuwa na manyanyaso kwa wakristu utadhani wao nchi ni yao ila naamini ni kwa kukosa elimu ndio maana wanafanya mambo ya kijinga plus kutokuwa busy....!
Laana na iwe juu yao wote wenye matendo yasio na upendo na nawaahidi hawatatuweza kamwe coz uvumilivu umeshaanza kutuisha!
 
Last edited by a moderator:

tuhakikishie kama ameuawa na wazanzibari?
 
Kabla hujapost pitia angalau page mbili za JF utaona kama hiyo habari ipo au haipo. Hii si tetesi bali nimchukulie breaking news tangu asubuhi. Nenda soma huko. Mod unganisha hii.
 
Kikwete anatimiza malengo yake,Nchi imekushinda ONDOKA;ONDOKA;ONDOKA HUWEZI.
Ee Mungu tumekosa nini watanzania? Rais ndo huyu, Bungeni maspika wachovu watupu, mahakamani majaji wanateuliwa vihiyo. -kila mhimili umeguswa na uchakachuaji. Duh! 2015 mbali!
 
Tukio la saa moja unauliza saa hizi. Angalia thread za JF zipo mbili zimeongea ka kirefu juu ya kifo cha fr. Evarist.
 

Inawezekana na wewe mtuma thread ni mhusika
 
What a sad day; Mungu atusaidie. Na bado atasimama JK na kutoa hotuba yake ya "jamani udini haufai, haijawahi kutokea katika historia yetu".. Maskini Kikwete..

Naona unajiliwaza na kujifariji mauji ya Mwembechai nayo alikuwa Kikwete.
 
Sasa tunapoelekea kama taifa ni hatari, tusiwalaumu ndugu zetu waislam kabla hatujajua ni nan kafanya, ngoja tusubiri taarifa ya jeshi la polis ndo tufanye maamuzi kwani sasa inaelekea zanzibar si mahala salama kwa viongozi wa madhehebu ya kikristo,
Unadhani jeshi la polisi watasema nini zaidi ya kusema kauawa na majambazi?
Jeshi ni lao then waseme nini?
Tunaujua ukweli wala hatuhitaji report yao!
 
Hapa aliyeanzisha udini ni mwinyi na kikwete akaendeleza cha msingi kila mtu asimame kidete kuitetea imani yake vita hii itarudi YESU atakaporudi kulinyakua kanisa na kumaliza vita ya Israel na palestina

na sio nyerere mnayetaka kumpa utakatifu kwa kazi nzuri aliyolifanyia kanisa?
 
Hatuwezi kurudia kosa, hii nchi itatawaliwa na PADRI DR MKUU WA UKWELI ZAIDI SLAA chini ya CHADEMA
Acha ujinga wako,we hna tofauti na magamba,cdm haina mafungamano na dini yeyote!
 
tukana hadi uchoke ila mwisho wa yote padri kashaded, wanavyouawa masheikh kenya hamsikii mnasikia ya padri tu

cc tunaongea Tanzania wewe unaongea Mombasa? kweli wewe kichwa boga.
 
Tuache kutegemea viongozi wa dini kwa tafsiri za vitabu vitakatifu kwani yote yaliyo andikwa,kila mtu ana tafsiri yake na wengine wako katika kupandikiza chuki ndani ya waumini... Hakuna dini inayokubaliana na mauaji ya binadamu mwingine
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…