Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Hivi nyie Wakiristo mtu hakiwa Muislam ni gaidi basi siku Dr Slaa akichukuwa nchi mtuchinje wote mbakie peke yenu Wakirsto watupu.
Ni kweli Slaa tachukua nchi ila hana roho ya pepo ya kunywa damu za watu kama nyie waislamu atawaongoza watanzaniana kuwafanya wawe wamoja tuu kama ndugu!
 
Rais snasema mbele ya maaskofu tusichochee kuni moto ambao umeshawaka inaonyesha naye anaunga mkono huu udhalimu. Iko siku Mungu atatuonyesha tufanye nini sisi wakristo kutetea imani yetu kwa amani. Pumziko pa milele umpe Ee Mungu!
 
mi nashangaa sana hawa wachungaji na maaskofu wetu sijui wamerogwa?
kuanzia hii vita ya kidini ianze sijasikia hata siku moja wakisungumzia hila jambo kwenye ibada ili hali misikitini wanaamasishanaKila ijumaa.ni vizuri wakatoa maoni ili waumini wasije lipiza kisasi
 
Huu udini ni mbegu iliyopandwa na serikali ya chama cha mapinduzi.
 
wakristo tumevulimia vya kutosha serikali haitaki kuchukua hatua...vitisho vimetolewa havifanyiwi kazi ok sasa bado kidogo tunaanza na polisi na kisha upande wa pili....nikisema hivyo mnanielewa. Mambo haya msifikiri cc hatuna hasiri au hatuna jeshi. tutalipiza mahali ambapo hamtaamini kama na hili hatua hazitachuliwa naumia sana roho yangu jeshi tunalo la nini kama vitu ya kidini inaanza lakini inafumbiwa macho.




Padri Evarist Mushi, ambaye ni paroko wa parokia ya Minara Miwili - Mtoni Zanzibar amepigwa risasi na watu wasiojulikana leo mida ya saa moja asubuhi akielekea kanisani kuongoza ibada.

Source: Radio Wapo
 
Mapadre wa zama hizi ni wajasiriamali pia wanajirusha viwanja, huenda chokochoko zote zimeanzia uraiani katika harakati za maisha ndipo visasi vikafuatia. NYIE msije zidisha uadui kwa kuunganisha hili tukio la kupigwa risasi na udini
Laana na iwe juu ya kichwa chako ,wazazi wako na wanao huna heshima ya utu sasa wakijurusha ni sahihi kuondolewa uhai wake nyie waislamu mutasababisha nchi yetu iingie kwenye dimbwi la damu munalaana nyote mubarikio umwagaji wa damu kwa namna yeyote ile na laana impate Raisi Jakaya kikwete mwanzilishi wa udini na mlezi wa maovu ya waislamu
 
sitaki kuambiwa wala kuamini eti walompiga risasi padre nimajambazi au niwatu wasiojulokana hao naamini kabisa ni WAISLAMU!
 
Laana na iwe juu ya kichwa chako na kizazi chako chote na damu ya Paroko MUshi na iwe ndani ya roho yako uwe kichaa na ufe ukiokota makopo

Naona umejigeuza kuwa mungu!
 
Mungu ampe pumziko la milele na kuwasamehe bure waliofanya hicho kitendo kwani hawajui walitendalo
 
Najaribu kukuchorea picha naona jitu lililovaa kipedo,mindemvu kama jini maimuna,jazba kilo hamsini kifuani,unanukia pafyumu za kuita majini,sandles kubwa kama boat zina bonge la sori eti mnakimbia uchafu wa vumbi wakati unaushetani rohoni na moyoni.Tumechoshwa na roho zenu mbaya na ipo siku mtaisoma.

unapozidi kuongea tunazidi kuungamizwa
badilika
wee ndio sababuvya mapadiliko kama sio ss nani twaweza
 
Ni muda muafaka wa Sheikh Ilunga Hassan Kapungu, kukamatwa kwa uchochezi wake wa kuuliwa kwa viongoz wa dini ya kikristo

mkuu hawa wadudu(utitiri)washatuingilia,hapa dawa yake ni kutafuta BAYGON ya kuwapulizia wafie mbali.
 
Huu ni udini tuache kubwabwaja maneno ambayo hayasaidii waislamu wanataka kutupanda kichwani ----in, haiwezekani viongoz toen tamko tuko nyuma yen,huu ni upumbavu huwez kumuua padr hvhv kila cku ni majanga hii amani upumbavu?
 
Hli swala c laki dini ni la kisiasa dini hairuhusu kumwaga damu kw asiye na hatia watanzania 2pendane daima !
 
Damu ya watanzania itakulilia daima wewe Kikwete.

Mbana Mkapa aliuua watnzania pale mwembe chai 1998,pia akauua makumi ya waislamu kule Zanzibar 2001,maaskofu wakotoa matamko yaa kupongeza kilichotokea,au waislamu sio raia wa nchi hii?nchi hii ni ya wakotoliki pake yao.

By the way Maaskofu wa Kikatoliki wamezidi kutoa mawaraka na matamko ya kuishinikiza serikali na serikili inawakubalia kila jambo inaloamrishwa na kanisa katoliki

Ukiwa dhalimu husidhani unayamdhulumu atakaa kimya miaka yote,itfika kipind uvumilivu utamshinda.Sasa mmeanza kuvuna kile mlichokipanda.

Waislamu wakilalamika nyinyi kazi yenu kukejeri na dharau,na serikali haitaki kuwasikiliza,sasa faida yake ndio hii tunayoiona
 
Laana na iwe juu ya kichwa chako na kizazi chako chote na damu ya Paroko MUshi na iwe ndani ya roho yako uwe kichaa na ufe ukiokota makopo

Dua kamahizi hutolewa pale viloba vinapo chukua nafasi kunkichwa.
 
Padri Evarist Mushi, ambaye ni paroko wa parokia ya Minara Miwili - Mtoni Zanzibar amepigwa risasi na watu wasiojulikana leo mida ya saa moja asubuhi akielekea kanisani kuongoza ibada.

Source: Radio Wapo

Yule padre wa kwanza aliyepigwa Risasi watu walijitetea kuwa inawezekana ni majambazi walikuwa wanavizia Sadaka "eti kwasababu alikuwa ni Muhasibu wa kanisa na ndo kwanza alikuwa ametoka kanisani" Vipi kuhusu huyu wa sasa ambaye ndo kwanza alikuwa anaingia kanisani? Ni nini chanzo na sababu?
Hebu wajuvi wa mambo tufahamisheni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom