Mi nilizani kama ma great thinker mtajadili kwa ajili ya kupata suluhisho,kama nyie ni wasomi na magreat thinker.Na mnachangia kwa kuonyesha waziwazi mko upande upi(your emotions are affecting your ability to analyze issues),badala ya kutafuta suluhisho mnaanza kunyoosheana vidole.
Itakuwaje kwa wale ambao hata hawakufanikiwa kufika shule.Naipenda psychology kwani inahusika sana katika maisha yetu,kuna tatizo badala ya kutafuta suluhisho unaanza kumlaumu mwenzako.It is easy to change yourself than to try to change the other person.
Mjadili vyovyote muwezayo ila mjue popote penye mtu zaidi ya mmoja kutofautiana ni kawaida."If two people agree in everything one of them is not thinking."
Mimi niko tayari kujiunga na kundi lolote,na kufanya chochote ila tu kundi hilo liwe linatetea maslahi ya wananchi wote na si dini au kabila fulani.
Wengi hapa ni wakristu au waislamu kwa sababu mmejikuta mmezaliwa kwenye familia hizo.Je ulishawahi kujifunza kuhusu dini ya wenzako ikoje,wanaamini nini,sheria zao zikoje?Wangapi mlishawauliza wazazi wenu kwani nini ni wakristu au waislam?Wengi hamjawahi.
Kwa kifupi katika jamii yeyote muda wowote "there is always people who want to be deceived" ndiyo maana ukianzisha jambo lolote hata kama ni la ajabu you will alway get members.
Maisha ni magumu kwa wengi wetu,mara nyingi mambo yanapokuwa magumu mwanadamu hutafuta mtu wa kumlaumu badala ya kujiangalia yeye mwenyewe.
Huwa sipendi sana kuchangia mambo ya imani za watu kwani naamini dunia haiwezi kuwa na dini moja nahata ikiwepo dini moja lazima ndani ya dini hiyo patagawanyika.
Ushauri wangu wewe kama ni mkristu soma Qur'an,Shari'ah law na sunnah na kama ni mwisilam soma Biblia jifunze ili ujue hawa wenzako kwa nini wanaamini hicho wanachoamini na kwa nini wako hivyo walivyo.You can not know how a cow feel if you are not one.
Nashaangaa mwana JF anajiita expert,Senior member(of course ni software ndiyo inawapa majina hayo mnapomeet predefined criteria) anafanya generalization(all,everyone,everybody,..)viongozi wa dini ruksa kuteleza kumbuka ni wanadamu kama wewe they are not perfect."We are human becoming rather than human being."
Kama ulikuwa hujui kila binadamu ana "dark side" ana mabaya yake aliyoyaficha anayajua mwenyewe.Hata viongozi wa dini wana mabaya yao.
Tatizo nalirudia tene watu imani zao zimepungua ,wameshindwa kufuata matakwa ya Mungu/Allah mmekuwa washabiki wa dini na wengi hawajui vizuri misingi ya dini zao.Kwa kifupi nina basic knowlegde ya dini hizi mbili,kama waumini wangekuwa strict kama dini zao zinavyowataka pangekuwa hapatoshi.
One among the thing Muslim and Christians share in common is the ten commandments
je wangapi hamsemi uongo,wangapi hamzini?Tuache unafiki ila ukiitwa kushabikia dini yako uko tayari kufa.
Kam wewe ni mbaguzi wa watu kwa imani yao samahani nikikukwaza ila maisha yako hayazidi miaka120 sasa siku mmoja utatoweka.Read between line the quote below,digest it.Remember we are who we choose to be.
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
"We must learn to live together as brothers, or we are going to perish together as fools." -- Martin Luther King, Jr[/FONT]