Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
halafu nyie muslim popote pale,mnaofanya hivi vitu,msifikiri kukaa kwetu kimya wakristo ni wajinga!tunajua mnatafuta pa kuanzia,bt mungu wetu atawaadhibu vibaya!
Yaani mna roho mbaya km nn!!ss hapo mmepata faida gani!(ama kweli ufunuo wa yohana unatimia)hakika huyu ni mpinga kristo!!
Unajua Dada kuna watu wamekaa kipropaganda wakati wenzao wana kufa tuache propaganda , Tuwambie wenzetu waislam huko Zanzibar mambo yanayoyafanya sio Mazuri tunakoelekea ni kubaya zaidi sasa kama wewe unaleta propaganda , wenzenu wakristo huko Zanzibar wataendelea kuuwawa. Wakeemeni kwa mabaya wanayo yafanya ,tuache Siasa jamani kwenye Mambo Serious
 
Wakati mwingine ni hatari sana kudeal amtu anaemfuata mtu aliefanya mauaji ya kutisha ili kueneza dini
'
Fahamuni kuwa Hawa Waislam wanafuata nyayo za muasisi wa dini yao.
'
Hakuheshimu dini zingine,hawa wataheshimu vipi?Wasio waislam wanaonekana kama sio binadamu
'
Mtu aliteka na kuanzisha vita zaidi ya 80 kwa wasio waislam na akawaagiza wafanye hivyo kupigania dini ya "haki" utawabadilishaje hawa?
'
Aliwaambia "slay unbeliver whenever ye find them",tutapona kweli?
 
kwenye kumtangaza Kristo kufa si jambo la ajabu lakini wakristo tusikate tamaa na kuikimbia Zanzibar bali ni kuwahubiria wapo wafia dini wengi waliuwawa na ndio maana tukaipata hii neema tuliyonayo leo ya kumjua Mungu wa kweli nasi kizazi cha leo tusiogope bali iwe ni kichocheo cha kumtangaza Kristo Yesu, Ni majonzi kwa kanisa na wakristo wote lakini Mbiguni imeandikwa na ardhi ni shahidi, Mungu wa amani atasimama nasi, tumwombee kwa Mungu baba yetu Pdri E. Mushi apumzike kwa amani.

Damu ya watakatifu ni mbolea ya injili. sisi kwetu kuishi ni Kristo na kufa ni faida. kama tukishi tu mali ya Bwana Yesu na kama tukifa tu mali ya Bwana. Kufa ni daraja la kuondokea katika maisha haya na kuingia katika utukufu wa Milele!! Hivyo kifo sio kitisho kwa mkriso!! Na hao wajahidina wajue nao siku moja watakufa na kutoa hesebu ya kazi zao mbovu mbele za Mungu. Ndipo watakaposhangaa badala ya mito ya vileo na wanakwake 70 wenye macho kama vikombe na viouno vilivyobinuka walivyohaidiwa itakuwa ni mateso na moto wa milele!
 
Padri Evarist Mushi, ambaye ni paroko wa parokia ya Minara Miwili - Mtoni Zanzibar amepigwa risasi na watu wasiojulikana leo mida ya saa moja asubuhi akielekea kanisani kuongoza ibada.

Source: Radio Wapo

Aaaaaah ! Kumbe source ni WAPO FM Radio ? Mi nlidhani ni source ya maana.... Anyway labda alichukua mke ama mchumba wa mtu maana hawa nao wamezidi sana.

Lakini wenye akili watakuja hapa na kusema kauwawa na Waislamu

Nasuburi kusoma kutoka kwa GREAT THINKER wa JF
 
Ni aibu, fedheha na si busara hata kidogo kwa mtoto wa kike kusambaza chuki....!! Una uhakika kwamba wauaji wamefanya hayo kwa maslahi au kutumwa na Uislamu?! Kwanini kila kinachofanywa na Waislamu mnakihusisha na Uislamu?! Hivi nchi hii Waislamu ingekuwa hawawapendi Wakristo au Wakristo hawawapendi Waislamu unazani nchi ingekalika?! Kwanini mambo yanayofanywa na a small unit of people mna-generalize kwamba ni ya Waislamu? Hakika, watu kama wewe ni hatari zaidi kuliko huyo muuaji kwa maana unajificha kwenye screen na kusambaza chuki!
we bwabwa kweri kuchomwa kote moto makanisa unasema cyo waislam naona unataka uliwe tigo mtoto wa kiume
 
Hatujidai hatujui, ni kweli hatujui kulipiza, imani yetu haikutufundisha hivyo, wanaofanya hivi ni watu wachache wanaotumiwa na watu wachache kwa kutumia jina uislam, waislam shtukeni dini yenu inapakwa matope na watu wachache, wakristu na taasisi zao wakiamua kuwatenga mtaishi maisha ya shida sana hapa Tanzania.
wambie hawa watu mkuu, kwa sababu hali ni mbaya zaidi
 
Vislam ni vichache sana hata huku kijijini kwetu havizidi 20 hivyo tunasubiri tamko toka kwa viongozi wetu ili tuwaonyeshe chamtemakuni kwa sasa hakuna cha ndg gaidi au jini ni kufyeka kwenda mbele nyie magaidi wakubwa manywa kahawa na wapiga majungu vijiweni hakika tumechoka kuonewa na haya mafisi yana roho utafikiri hayakuzariwa na binadamu dawa yenu ni kuwatokomeza ninyi na watoto wenu wote.

Kha! Pfs wewe unasubiri viongozi wako, zanzibar wemeshaanza kuwaonyesha chamtemakuni vikristo vilivyoko huko.hapo mtakapo anza wezenu watamalizia waliobaki.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
kuna watu wamekaa kipropaganda wakati wenzao wana kufa tuache propaganda , Tuwambie wenzetu waislam huko Zanzibar mambo yanayoyafanya sio Mazuri tunakoelekea ni kubaya zaidi sasa kama wewe unaleta propaganda , wenzenu wakristo huko Zanzibar wataendelea kuuwawa. Wakeemeni kwa mabaya wanayo yafanya ,tuache Siasa jamani kwenye Mambo Serious
 
Hata mkituua mtabaki kama mlivyo, akili zetu haziwezi hamia kwenye vichwa vyenu. So sad.
 
Mungu wangu ooh Mungu wangu!
Raha ya Milele umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele umwangazie Roho ya Marehemu Evarist ipumzike kwa amani
 
Rip father, Mungu akurehemu umekufa ukitimiza kazi yake. Ngoja ninyamaze nisijepigwa ban
 
kuchoma makanisa waislam, kuuwa padri waislam,kuuwa mchungaji waislm,kueneza chuki waislam,kuharibu mabucha waislam, kuandamana waislam.....je vurugu ni sehemu ya mafundisho ya hii dini.??????
 
Padri Evarist Mushi, ambaye ni paroko wa parokia ya Minara Miwili - Mtoni Zanzibar amepigwa risasi na watu wasiojulikana leo mida ya saa moja asubuhi akielekea kanisani kuongoza ibada.

Source: Radio Wapo

mwenyezi mungu atusaidie sana
 
Ndugu zetu waislam

Ndugu zetu Uamsho

Uvumilivu sasa unafikia kikomo
 
Waziri mkuu atazunguka sana mwaka huu,Mtwara,hajakaa vzr Geita bado anapiga mswaki kuanza safari ya dar mara zenji tena akitoka huko hatuombei ila anaweza kwenda Moro,swali hizo sehemu hazina watendaji wa serikali au kila kitu mpk kishughulikiwe na uongozi wa juu?
 
Katika hayo yaliyochomwa mangapi yalikuwa Anglikana au Roman Catholic?

Chama
Gongo la mboto DSM

Umeelewa swali? haya ndiyo yanayotokea Necta mtu akiferi oh ameferishwa, mkuu jibu swali nimerudia hapo chini acha siasa


quote_icon.png
By adolay

Mkuu chama

Nikweli nakubaliana na wewe kanisa halikuanza jana ni ukweli usiopingika.

Kwa Dhana hiyo hiyo unaweza pia kutueleza kwanini kwa kipind kifupi zaidi ya makanisania 20 yamwchomwa moto

ukilinganisha na misikiti ambayo kwa bahati mbaya sina kumbukumbu mingapi imechomwa huko zanzibar Rejea kauli yako kwenye redi hapo juu.
 
Inasikitisha sana kwanini mtu mmoja anahubiri kuua viongozi madhehebu ya ukristo,na itafikia waumini nao tutakuwa hatarini,selikari inamaana haioni cd hizo zinazohubiri kutowesha utulivu tulionao?au ndo vile nani amfunge kengele paka? IGP kazi unayokubwa mbele yako na vijana wako,acheni siasa fanyeni kazi tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom