Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Tanzania na Watanzania tutajuta sana kwa hii miaka ya Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Rais. Ni kipindi cha giza na taabu kwa nchi hii. Mbaya zaidi hata vizazi vijazvyo bado navyo vitaadhirika na huu utawala!


Haya mambo alofanya Kikwete na timu yake kule CCM, TISS na Polisi yakimaliza full cycle Tanzania haitakuwa nchi moja...labda tu kwa miujiza ya MUNGU wa kweli.
 
NA AOGOPWE YULE AUWAYE ROHO NA MWILI! LAKINI SI KINYANGALIKA AUWAYE MWILI TU! HAKIKA NIMEAMINI DINI NYINGINE ZINAONGOZWA NA SHETANI LUCIFER MWENYEWE MKUU WA MAPEPO!! MUNGU AMSAMEHE MAKOSA YAKE PADRE MUSHI, AIPUMZISHE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI! amen!
 
Tanzania na Watanzania tutajuta sana kwa hii miaka ya Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Rais. Ni kipindi cha giza na taabu kwa nchi hii. Mbaya zaidi hata vizazi vijazvyo bado navyo vitaadhirika na huu utawala!


Haya mambo alofanya Kikwete na timu yake kule CCM, TISS na Polisi yakimaliza full cycle Tanzania haitakuwa nchi moja...labda tu kwa miujiza ya MUNGU wa kweli.

For me bro yaani kuwa fair mwaka 2015 nitaenda kupiga kura kwa mtazamo wa kidini la sivyo bro hawa watu watatunyea kichwani
 
Mungu atusaidie cc hatujafundishwa kupigana ila kuomba tumlilie Mungu wetu atunusuru na janga hili.Baba umpumzishe kwa amani mtumishi wako.
Romans 12:19 Beloved, never avenge yourselves, but leave it to the wrath of God, for it is written, "Vengeance is mine, I will repay, says the Lord."
Hakika kuna tofauti kubwa kati ya hizi dini mbili. Na haziwezi kuwa ni za Mungu mmoja maana tabia za miungu hawa wawili hazifanani. Wakati mmoja ni katili mwingine ni mwema.
 
Hii thread kweli
**There are currently 3992 users browsing this thread. (310 members and 3682 guests)
 
Bora tupigane kama Rwanda na Burundi baada ya vita tutaheshimiana kama wanavyoheshimiana hivi sasa Rwanda na Burundi.

Dharau zimezidi nchi hii
Hawa jamaa wanatuchukulia poa sana.,kilichobaki ndo hicho haiwezekan ugomvi wao na serekali wawaue wakristo.,hao wanaojiita waislam wenye msimamo mkal who are they?,are they not human being like us.,pumbaf we'll see for this...church waumin wamechukia mbaya baada ya kutangaziwa..we'll see for this...
 
Huyo Allah wao anapenda vita na fujo..
Allah wao ni Muuaji..ila Mungu wetu kupitia kwa mwanae mpenzi aliyehai Yesu Kristo hujibu kwa maombi.
Nyie endeleeni kuua watu kwa kumtumia huyo Allah wenu.
 
Nchi hii inakwenda wapi? Kila inapoongozwa na rais muislaam lazima kuna chokochoko za kidini
wakristo tuamke tutaisha, padre ambrose walimkosakosa na sasa wa leo wamemmaliza.
Mungu ongoza taifa lako watumishi wako wanaangamia
 
kwa mujibu wa biblia hatupaswi kulipiza kisasi na wala kuhukumu,tuwaombee waliofanya hili tukio wakumbuke toba kwani hawajui watendalo, Rest in peace baba paroko mbele yako nyuma yetu-AMINA

Ohooo!Jiteteeni manake mtamalizwa!haya tutaona maombi yenu
 
Kwa masikitiko makubwa,tuendelee kulaani matukio haya ya kinyama kwa kisingizio cha imani za kidini.Naamini hakuna dini inayoruhusu kuua,huu ni uhalifu na ushetani kwa kivuli cha imani.Kulaani tu haitoshi ila sasa tuendelee kushinikiza serikali ionyeshe uongozi thabiti.Umoja wetu wa kitaifa uko mashakani.Nawaasa Wakristu tusiwachukie waislamu wote kwa sababu ya uhalifu unaofanywa na kundi haramu.Tukio hili lituunganishe sisi kama ndugu ndani ya Taifa Moja.Adui yetu mkubwa na Ujinga,Uongozi mbovu wa serikali ya Chama cha Mapainduzi na ufisadi unaotugharimu bila kujali itikadi za kidini

Chuki za kidini zimepandikizwa kwa muda mrefu.Udhaifu wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete umetoa fursa kwa chuki hizi kujitokeza wazi wazi.Alipopigwa Risasi Padri kule Zanzibar tulimshuhudia Rais akienda kumuona Hospitali.Htauhitaji Rais anayewahi matukio ya kupiga picha bali unahitajika weledi wake katika uongozi kukomesha hali hii.Hatujawahi kushuhudia katika awamu yoyote hapo kabla kwa mfano Suala la Kuchinja vitoweo likatolewa Tamko na Waziri .Udhaifu wa uongozi ndiyo kichocheo kikubwa na kinachotoa nafasi kuibuka kwa makundi ya kigaidi na mitafaruku ya kijamii na kisiasa(Sub-Nationalism).Hili limesisitizwa sana Katika taaluma ya Diplomasia kwenye somo la Ulinzi na Usalama (Defence Strateggy and Intelligence)

Kama sula ni Muungano ninaendelea kutoa maoni kwamba suala la Zanzibar lijadilike kwa uwazi na kama wanataka kujitenga waachwe wajitenge.Mabavu hayatatusaidia huko mbele ya safari.Hata hivyo umuhimu wa muungano wa serikali Tatu hauwezi kuepukika ili kila Taifa liwe na uhuru wake na tuungane kwa utashi wa utaifa wetu.Serikali iliyoshindwa inafurahia kuona wananchi wake tukijadili kuhusu imani zetu badala ya matatizo yetu ambayo hayachagui dini,kabila wala rika

Though UAMSHO is not claiming responsibility the existence of extremist groups is obviously a consequence of the failure of the Tanzania state to live up to its responsibility to its people

I did so to draw attention to the fact that religious zealotry is not new in the nation, nor is it limited to the "unwashed masses" who have been programmed into killing, at the slightest provocation or none, in the name of faith. Unfortunately, far too many have succumbed to the belligerent face of fanaticism, believing that any form of excess is divinely sanctioned and nationally privileged.

Much play is given, and rightly so, to economic factors-unemployment, misgovernment, wasted resources, social marginalization, massive corruption-in the nurturing of the current season of violent discontent. This horde has remained available to political opportunists and criminal leaders desperate to stave off the day of reckoning.
Most are highly placed, highly disgruntled, and thus highly motivated individuals who, having lost out in the power stakes, resort to the manipulation of these products of warped fervor.

Rather than act in defense of Tanzania's Constitution, past rulers have cosseted the aggressors for short-term political gains. However, those who have tweaked the religious chord are discovering that they have conjured up a Frankenstein.
 
Mara nyingi mambo haya yanaonekana kama ya kawaida sasa,
ila we jk na wenzeko mnatupeleka ambako hata ninyi hamtapata usingizi
waacheni akina ilaunga na wenzake wazidi kupandikza chuki tu haya ndo matunda yake na
mengi yatakayofuatia..!
 
kama ni hivyo ponda angeshaachiwa
Ponda hawana uwezo wa kumuachia ana faili CIA na FBI la ugaidi na viongozi hawa hawawezi kwenda kinyume na wafadhili wao.Lakini katika haya ya nyumbani udini umewatawala,subirini siku DAVIS Mwamunyange achoke na kuona waumini wenzie wanavyo onewa na utawala huu na kuchukua hatua ndio mtajua mchicha ni mboga.
Najua CDF anapitia humu JF,pse hii post ni kwa ajili yako.
 
Padri Evarist Mushi, ambaye ni paroko wa parokia ya Minara Miwili - Mtoni Zanzibar amepigwa risasi na watu wasiojulikana leo mida ya saa moja asubuhi akielekea kanisani kuongoza ibada.

Source: Radio Wapo

R.I.P. Padri Evarist Mushi!

Shetani waliochukua roho yako Mungu hatawaacha huru wala salama
 
kama kweli serikali ya Jk haihusiki na matukio haya Sheikh Ilunga akamatwe na kuisaidia polisi kuhusiana na matukio haya mawili la mwanza na hili la Zanzibar,DVD za shehe Ilunga zinatoa maelekezo ya wazi ya kuwaua mapadri,wachungaji,maaskofu n.k

Tujiulize hivi ni kweli vyombo vyote vya usalama wa taifa havijaona DVD hizo? mbona hata kwenye you-tube ipo wazi,lakini bado yuko mitaani anadunda.Kazi ya usalama wa taifa ni nini kama siyo kufuatilia mambo haya mapema na kuyafanyia kazi.Muda mwingi unatumika kufuatilia vyama vya upinzani badala ya kuchunguza uhaini uanaofanywa kwa migongo ya dini.

Mchelea mwana kulia yewe,huko ikulu nako kuna waislam na wakristo,Jeshini ,polisi halikadharika.asiwepo mtu wa kujidanganya kwamba kwenye vita hii ataokoka.

Ni ukweli usiopingika wanyonge watatangulia wengine watafuata Ndugu zangu waislam,mkiona wakristo ni maadui,mtakuja jua kwamba hawakuwa maadui mtakapowamaliza mkabaki wenyewe mkaanza kupigania udhehedu(shia/suni),angalieni pakstani,india Kashmir,Somalia ambako shehe ilunga anasema kwenye DVD yake kwamba mlitegemea waje kuwasaidia!

Watawasaidiaje wakati kwao njaa inawamaliza? labda kama ni suala la kuvuruga amani kweli wameshafika na ndo hivyo wameanza kuwasaidieni ''Ee Tanzania! laiti ungelijua yapasayo amani!!! lakini kwako yamefichwa''
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom