figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Mkuu umejipanga kujibu mashambulizi?Sasa hizo harusi za kunywa chai ya Rangi asbh, mchana ubwabwa maharage kwenye sinia,
Mziki ni Dufu
Ukumbi kibarazani
Vazi hijab na kanzu
Viti ni majamvi
Zanzibar ovyooo
Harusi za Pemba ni chai rangi kwenye vikombe vya plastic😄na ubwabwa.Mkuu umejipanga kujibu mashambulizi?
Una uhakika?Harusi za Pemba ni chai rangi kwenye vikombe vya plastic😄na ubwabwa.
Hakuna huduma ya catering
Hakuna MC
Hakuna ukumbi
Hakuna vazi
Unamanisha nini?Be care man, marinda yapo hatarin hao watu si wazuri
If you know you knowUnamanisha nini?
Nahisi unanikosea adabu.. Mbona nakuheshimu Mkuu?If you know you know
Yaani ukiwa Zanzibar, Harusi ni nje nje, utake wewe kuoa..
Hata rafiki yako akioa, anataka mchango wa Elfu tano(elfu moja moja tano).. Kama utatoa ziada ni hiari yako.
Lakini huko bara mchango eti laki moja.. Gharama ya mbuzi mzima halafu muda wa msosi unaambulia paja la kuku, ubwabwa na kipande cha tikitimaji.
Uzuri wa huku hata kuoa sio tabu.. Huna mahari basi toa kitabu cha Mwenyezi Mungu..
Mwenzenu nishatoa Mchango wa Harusi, mkusanya michango kaja mwili mzima kapaka hina, kaniletea na zawadi ya nyama..
Na siku ya harusi ishafika.. kazi ninayo.. Jasho litanitiririkka usiku kucha..
Naona siku haifiki. Mwanamke kapaka hina kiunoni shanga.. Utampenda
Salaam aleikum😍
View attachment 3603662
Samahani mkuuNahisi unanikosea adabu.. Mbona nakuheshimu Mkuu?
Viongozi wa dini ni mashuhuda tu wanaoirasimisha Ndoa. Ndoa yenyewe inakamilika kule Faraghani. Tofauti na hapo; hayo mengine ni mbwembwe tuu.Watu wengi wanajichanganya kwwnye ndoa cha muhimu pale mnapofungishwa na viongozi wa dini mengine ni ziada
AmenIkawe heri