Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 3,284
- 9,221
Zenji kuna ndoa au wanaoana mtu na shoga ake? Maana kila nyumba zenj ina shoga
Napenda maisha simple namna hiyo, harusi ni jambo la heri, linatakiwa kushehekewa bila kero, sio mtu anaoa/kuolewa anataka mambo makuuubwa ya kumshinda anaanza kuhangaisha watu na mimeseji ya mchango kila siku utafikiri anakudai, umekaa tu zako unapangilia mambo yako ghafla unajikuta kwenye group la kamati ya ndugu maduhu Joseph unajaribu kukumbuka huyu ni yupii? Aaghh mtu hata hamna uhusiano kabisaa ila wanavosumbua kudai michango ili tu wafanye sherehe kuubwa of which hazinaga maana sana.Harusi za Pemba ni chai rangi kwenye vikombe vya plastic😄na ubwabwa.
Hakuna huduma ya catering
Hakuna MC
Hakuna ukumbi
Hakuna vazi
Nani kasema? Bara harusi mwala mara moja tu tena usiku wa manane kuanzia saa tano usikuSasa hizo harusi za kunywa chai ya Rangi asbh, mchana ubwabwa maharage kwenye sinia,
Thubutu, Zanzibar hakujawahi kuwa na shughuli ndogo. Ni vile tu watu hawakalifishani na hayo mamichango.Angel Nylon eti mahari na haluwa na tende?
umeandika madini sana kaka, tupo pamoja.Mie nishaancha kuchanhia harusi za watu, ni ujinga mtupu mtu anakupa kadi anakwambia mvhango laki, unaniwekea kiwango, tunasaidiana kutafuta pesa ama.. mie mchango pekee nitakaokuwa natoa ni kwenye shida, mtu kafiwa, anaumwa, labda kuna tatizo fulani, tuitane hata kama mtoto kapungukiwa ada..
Harusi ni jambo ambalo we unakuwa umejipanga, lifanye kwa uwezo wako, sio lazima ufanye jambo kuubwa, unachangiwa milioni 10, wakati maisha yako tu huna hata shughuli ya mtaji wa milioni 10.
Ngoja niokote okote, ili uni tafutie mwaliThubutu, Zanzibar hakujawahi kuwa na shughuli ndogo. Ni vile tu watu hawakalifishani na hayo mamichango.
Uliona ile shughuli ya arusi ya mtt wa Rais wa Zanzibar mwaka juzi sijui ile? Basi kuna watu wanafanya arusi mara 3 zaidi ya ile.
Ndio maana nikamshauri mtoa mada abadilishe circle yake, yupo na watu maskini sana halafu anasingizia Wazanzibari
Fanya shughuli kwa uwezo wako, mie nakereka na haya mamichango ya lazima, mtu anakuletea kadi mchango anaandika 50k, laki ama laki na nusu... huu ni upuuzi, nipe taarifa ya shughuli nitakuchangia mwenyewe kadri ninavyoona inafaa.Thubutu, Zanzibar hakujawahi kuwa na shughuli ndogo. Ni vile tu watu hawakalifishani na hayo mamichango.
Uliona ile shughuli ya arusi ya mtt wa Rais wa Zanzibar mwaka juzi sijui ile? Basi kuna watu wanafanya arusi mara 3 zaidi ya ile.
Ndio maana nikamshauri mtoa mada abadilishe circle yake, yupo na watu maskini sana halafu anasingizia Wazanzibari
Mkuu huko unaishia kula urojo wa elfu mbili tu.Yaani ukiwa Zanzibar, Harusi ni nje nje, utake wewe kuoa..
Hata rafiki yako akioa, anataka mchango wa Elfu tano(elfu moja moja tano).. Kama utatoa ziada ni hiari yako.
Lakini huko bara mchango eti laki moja.. Gharama ya mbuzi mzima halafu muda wa msosi unaambulia paja la kuku, ubwabwa na kipande cha tikitimaji.
Uzuri wa huku hata kuoa sio tabu.. Huna mahari basi toa kitabu cha Mwenyezi Mungu..
Mwenzenu nishatoa Mchango wa Harusi, mkusanya michango kaja mwili mzima kapaka hina, kaniletea na zawadi ya nyama..
Na siku ya harusi ishafika.. kazi ninayo.. Jasho litanitiririkka usiku kucha..
Naona siku haifiki. Mwanamke kapaka hina kiunoni shanga.. Utampenda
Salaam aleikum😍
View attachment 3603662
Si kweli.. Japo wana tamaduni zaoHarusi za Pemba ni chai rangi kwenye vikombe vya plastic😄na ubwabwa.
Hakuna huduma ya catering
Hakuna MC
Hakuna ukumbi
Hakuna vazi