mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Aliyekuwa mkurungezi wa Azam tv ameteuliwa kuwa mkurungezi wa mawasiliano ikulu ya Zanzibar
View attachment 1873681
ndioHuyu ashawahi kupita sports extra pale clouds?
Mkuryaaaaaaaaa.na ni mtanzaniaNi Mzanzibari?
Kisa umesoma nae, na wenzio wengi wana mawazo kama yako.hii ndo habari ambayo nilikuwa naisubiri sana huyu jamaa nina iman ridhik yangu ipo kwake ....toka,akiwa clouds,baadae azam tv,CRDB na sasa mkurugenzi mkuu hakika mungu ni mwingi wa rehema.
Wakati wanachumbiana hukuleta huku,iweje Leo ulete.Acha maisha binafsi yaendeleeVipi huyu Abdul alishaachana na baby wake yule DC?
nilikuwa nae ofisini moja...na mimi ndie niliyemsaidia kuhamisha vitu vyake kutoka ofisi ya azam tv wakat anahamia CRDBKisa umesoma nae, na wenzio wengi wana mawazo kama yako.
Mkuu hii kitaalamu inaitwaje?nilikuwa nae ofisini moja...na mimi ndie niliyemsaidia kuhamisha vitu vyake kutoka ofisi ya azam tv wakat anahamia CRDB
Walipost wenyewe mtandaoni mimi ningeota mfyuuuWakati wanachumbiana hukuleta huku,iweje Leo ulete.Acha maisha binafsi yaendelee
Ok, you hold a wild card.nilikuwa nae ofisini moja...na mimi ndie niliyemsaidia kuhamisha vitu vyake kutoka ofisi ya azam tv wakat anahamia CRDB
Kumbukeni tu wote hawa ni TWU 100%.Vipi huyu Abdul alishaachana na baby wake yule DC?