Zanzibar: Rais Mwinyi afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu katika Taasisi mbalimbali

Zanzibar: Rais Mwinyi afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu katika Taasisi mbalimbali

Wakuu Hivi Zanzibar Hakuna Wakristo wasomi Ambao Wanapshwa Kupata Teuzi za Rais Mwinyi? Nimekuwa nikiona Teuzi Zote Ni Waislamu Watupu? Kama Wapo na Hawapati Teuzi Kuna Haja Gani Ya Kuwa Na Kanisa Katoriki na Anglicana Zanzibar?
 
hii ndo habari ambayo nilikuwa naisubiri sana huyu jamaa nina iman ridhik yangu ipo kwake ....toka,akiwa clouds,baadae azam tv,CRDB na sasa mkurugenzi mkuu hakika mungu ni mwingi wa rehema.
Ww umepita wapi na wapi?
 
Dr Omar Dadi Shajak kachero mbobezi huyu naona kapelekwa kua Katibu Mkuu kwenye ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Bwana Masoud Othman. Nadhani huo ni mkakati maalum wa kumdhibiti Makamu kutokana na misimamo na kauli zake alizotoa mara baada ya uchaguzi wa marudio wa Ubunge kule jimbo la Konde kisiwani Pemba
 
Back
Top Bottom