Zanzibar: Rais Mwinyi afanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali

Zanzibar: Rais Mwinyi afanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais Hussein Mwinyi amefanya Uteuzi wa Viongozi mbalimbali leo Septemba 17, 2021. Silima Juma Khamis ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji na Utumishi

Wengine walioteuliwa ni Lt. Col. Haji Sheha Khamis anayekuwa Mratibu wa Idara Maalum za SMZ na Makame Mussa Mwadini anakuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii

05AF937C-9606-4BCA-9518-9B5BAD6AFF57.jpeg
 
Msajili wa matukio ya kijamii,kuweni serious basi
 
Ni Jambo njema kwa rais Mwinyi kufanya teuzi kwa maendeleo ya nchi .vipi mpango wake wa kuuza meli kasha fanikiwa?
 
Back
Top Bottom